Samia Housing Scheme itaongeza pato la Taifa

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari na Uhusiano wa NHC.

Amesema utakuza mapato ya serikali mfano mradi wa SHS 5000 unatarajiwa kutengeneza mapato ya kodi mbalimbali za serikali Tsh. bilioni 50 (mauzo ya nyumba) bilioni 10( ununuzi vifaa vya ujenzi), PAYE Tsh. 17.8 bilion, Kodi ya majengo Tsh. milioni 55, corporate Tax kutoka NHC na wajenzi wengine bilioni 77, VAT 60bilioni Aidha, itakuza sekta ya fedha kupitia mikopo ya nyumba watengenezaji, wauzaji na wakondarasi watakopa asilimia hadi 60 ambayo ni sawa na Tsh. 194.8 bilioni(SHS)

Rais Samia Suluhu anakuja na mikakati mingi ya kuongeza pato la taifa pia kuondokana na tatizo la ajira maana kila mradi unakuja na ajira kwa Watanzania.
 
Big up mama Samia na NHC kw mpango huu.
Katka nchoyoyote development projects ndio zinatoa ajira nyngi kwa vijana.
Na ujenzi wa nyumba za kuishi wananchi wa kipato cha chini na kati ndo inagusa wengi katika nchi yoyote.#Kwa mkakati huu nawapongeza sana NHC.
 
Yeye naona ameamua kula kwenye uwekezaji wa majumba kama godfather wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Big up mama Samia na NHC kw mpango huu.
Katka nchoyoyote development projects ndio zinatoa ajira nyngi kwa vijana.
Na ujenzi wa nyumba za kuishi wananchi wa kipato cha chini na kati ndo inagusa wengi katika nchi yoyote.#Kwa mkakati huu nawapongeza sana NHC.
Rais Samia Suluhu alisema maendeleo anayofanya ni maendeleo ya kumgusa direct mwananchi
 
Mchechu karudi nhc ni mwendo wa miradi tu kama awamu ya 4.

Bei tu ziendane na uhalisia.. mambo ya milioni 120 vyumba viwili ama vitatu hatuyataki
Rais Samia Suluhu yuko makini sana hakutakua na upigaji na bei lazima zitaendana na wanachi
 
Rais Samia Suluhu alisema maendeleo anayofanya ni maendeleo ya kumgusa direct mwananchi
Maendeleo anayofanya ,au maendeleo yanayofanywa na serikali yeye akiwa kiongonzi, yeye afanye maendeleo hizo pesa anatoa wapi,
 
Baada ya sekta ya real estate kuuwawa na Mwendazake Sasa imerudi vizuri..

Ila sasa Tanzania sio Dar na Dom pekee.
 
Nilidhani ni ile Samia Scholarships; kumbe Kuna SHS tena!
 
Maendeleo anayofanya ,au maendeleo yanayofanywa na serikali yeye akiwa kiongonzi, yeye afanye maendeleo hizo pesa anatoa wapi,
Yeye ndio mfanya maendeleo yeye ndo mtekelezaji bila kupitisha yeye kitu hakifanyiki
 
Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari na Uhusiano wa NHC.

Amesema utakuza mapato ya serikali mfano mradi wa SHS 5000 unatarajiwa kutengeneza mapato ya kodi mbalimbali za serikali Tsh. bilioni 50 (mauzo ya nyumba) bilioni 10( ununuzi vifaa vya ujenzi), PAYE Tsh. 17.8 bilion, Kodi ya majengo Tsh. milioni 55, corporate Tax kutoka NHC na wajenzi wengine bilioni 77, VAT 60bilioni Aidha, itakuza sekta ya fedha kupitia mikopo ya nyumba watengenezaji, wauzaji na wakondarasi watakopa asilimia hadi 60 ambayo ni sawa na Tsh. 194.8 bilioni(SHS)

Rais Samia Suluhu anakuja na mikakati mingi ya kuongeza pato la taifa pia kuondokana na tatizo la ajira maana kila mradi unakuja na ajira kwa Watanzania.
Rais Samia Suluhu ndiye aliyebuni mradi huu?

Amandla...
 
Mama anatekeleza miradi mingi sana kwaajili ya wananchi
Isije kuwa viongozi wanajipendekeza kwake kwa kuipa miradi jina lake...!
Naamini hata isipopewa jina lake atatekeleza tu.
 
Back
Top Bottom