Samia infrastructures Bond yaanzishwa na CRDB

Samia infrastructures Bond yaanzishwa na CRDB

Tarura imefilisika,sasa mmekuja kwa mbinu mpya ya ajabu!
 

Attachments

  • IMG-20241129-WA0022.jpg
    IMG-20241129-WA0022.jpg
    173.5 KB · Views: 13
Viongozi wa nchi hawako creative na shida ninayoiona ni kuchanganya biashara na siasa.hizo bonds si kitu kipya wenzetu kule Marekani zilianza muda mrefu sana.hapo jirani tu kenya hizo bonds ziko kwa muda mrefu tu.ni aibu bonds kupewa majina ya wanasiasa
Ni aibu mno lakini ni aibu zaidi kwa hao wataalam wa masuala ya bonds kuiita hivyo.
 
Wale wawekezaji bond mpya imeanzishwa na CRDB Kwa lengo la kukusanya mtaji wa kurngeneza na kuboresha miundo mbinu. Niwakatu wenu kununua mpate mrabaha. Baadaye nitaaambia kuhusu Gawio la hati fungani hii
Nawaza kwa mwendo wa kila kitu kupewa jina la Samia, mkapa nadhani taasisi zote alizoanzisha zingeitwa mkapa au william si tungechanganyikiwa
 
Huyu mama Kuna watu hawana hamu ya kuona sura yake.

Mimi kesho ninakwenda kufuta account yangu ya CRDB.
 
Huu ujinga wa taasisi binafsi kutumia majina wa watesi wetu utawua kibiashara
 
Back
Top Bottom