Samia infrastructures Bond yaanzishwa na CRDB

Ni aibu mno lakini ni aibu zaidi kwa hao wataalam wa masuala ya bonds kuiita hivyo.
 
Wale wawekezaji bond mpya imeanzishwa na CRDB Kwa lengo la kukusanya mtaji wa kurngeneza na kuboresha miundo mbinu. Niwakatu wenu kununua mpate mrabaha. Baadaye nitaaambia kuhusu Gawio la hati fungani hii
Nawaza kwa mwendo wa kila kitu kupewa jina la Samia, mkapa nadhani taasisi zote alizoanzisha zingeitwa mkapa au william si tungechanganyikiwa
 
Huyu mama Kuna watu hawana hamu ya kuona sura yake.

Mimi kesho ninakwenda kufuta account yangu ya CRDB.
 
Huu ujinga wa taasisi binafsi kutumia majina wa watesi wetu utawua kibiashara
 
Taasisi za Tanzania bado akili finyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…