Sio chochote.? Until namba moja dies ndio utaelewa kama siounajua kuwa makamu wa rais tz si lolote si chochote.
basi tusubiri kwanza namba 1 adie, lkn akiwa bado hai makamu si chochote si lolote kiutendajiSio chochote.? Until namba moja dies ndio utaelewa kama sio
Hii mindset imetugharimu big time. Kwamba kenge yeyote tu anaweza kushika nafasi ya VP. Kamwe hatutakaa tuisahau hii faulty mindset!unajua kuwa makamu wa rais tz si lolote si chochote.
Jamaa ni shamba BoyMwigulu ni mtu smart sana kichwani kuliko wote hapo juu, ni moja kati ya ma pm smart kuwahi kushika nafasi hiyo sema timing ndo mbaya. Ila kama pangekuwa pametulia basi jamaa angeupiga mwingi mnoo
CCM Mwisho wao usha isha,hata wao wanajua hiloSamia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni yeye ndiye anasikika zaidi tatizo lake naye ni wakati mbaya sana
Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni yeye ndiye anasikika zaidi tatizo lake naye ni wakati mbaya sana
Ukimtoa lukuvi na Dotto na Mkenda basi mle wizarani hamna kichwa kingine smart kuliko Mwigulu, tumpe mda aoneshe uwezo wakeJamaa ni shamba Boy
Ila apewe mda kuthibitisha nafasi yake anapopaswa kuwa
Ebu watanzania tulejee misingi ya wazee wetu
Namaanisha hivi sisi kiasili wa TZ aka wabantu, tuna uwezo wa kutambua huyu ndiye huyu siye kwa mwonekano tu
Hatuna haja ya kuthibitisha kwa Elimu ya kizungu kutambua hili la ndio au siyo
Jamaa ana uso mkavu tena akismile meno hata hakuna ushirikiano means jamaa hakuwahi kuwa na upendo toka tumboni
Yaani kwa ufupi maisha ya yake ni huruma za kizungu tu
Hebu wa TZ kuweni wenyewe kabla wengine hawajaamua kwa niaba yenu
Sasa vp tangu lini akahusika na day to day activities za govt? Au huyajui majukumu ya vp&pm!?
Hao mwigulu na Nchimbi wote ni watiifu kwa mtandao/wahuni wa CCM na huyo ajuza hana ubavu wa kuruka sarakasi yeyote ndani ya chama kuwazunguka wahuni.
Uko mbali sana Gen-Z kuna watu watakua wameshachomolewaVita vya 2030 safari hii itaamuliwa na Waganga.
Ukiweka comparison ya socialization ndani ya chama kati ya Nchimbi na Nchemba, Nchimbi anamzidi parefu sana Nchemba.Mwigulu kijana mtiifu wa mtandao bora hata Nchimbi akiwa Rais anaweza kua na sauti hata mtandao Wanaweza kumuogapa kwa Neture ya Nchimbi alivyo