The move to outsmart the majestySamia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni yeye ndiye anasikika zaidi tatizo lake naye ni wakati mbaya sana
Hivi jiwe si aliwahi kumtumbua?Inaweza ikawa kweli, kile kipindi cha JPM alizunguka sana, baadaye akazimwa mizunguko yake.
Ana usmart gani?Mwigulu ni mtu smart sana kichwani kuliko wote hapo juu, ni moja kati ya ma pm smart kuwahi kushika nafasi hiyo sema timing ndo mbaya. Ila kama pangekuwa pametulia basi jamaa angeupiga mwingi mnoo
Subiri adie ndo utajua nguvu ya bukubasi tusubiri kwanza namba 1 adie, lkn akiwa bado hai makamu si chochote si lolote kiutendaji
Nchimbi alikuwa mtu wa Lowasa, Anti Mtandao kwa Kikwete.Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni yeye ndiye anasikika zaidi tatizo lake naye ni wakati mbaya sana
Yeah ni mfumo uliosetiwa miaka mingi kama hawakutaki hao hutoboiSasa vp tangu lini akahusika na day to day activities za govt? Au huyajui majukumu ya vp&pm!?
Hao mwigulu na Nchimbi wote ni watiifu kwa mtandao/wahuni wa CCM na huyo ajuza hana ubavu wa kuruka sarakasi yeyote ndani ya chama kuwazunguka wahuni.
Mkuu usitukane mamba hujavuka mto ,mbona hii ngoma bado mbichi sana , tarehe 30 Oct napita zangu sehemu , askari mmoja ndani ya kigari cha mkopo ,anasema tumetoboa , kiko wapi sasa , hivi hawasomagi alama za nyakati? Nyakati zikikutaa umekwishaSamia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni yeye ndiye anasikika zaidi tatizo lake naye ni wakati mbaya sana
Mkumbushee kabisaaa, 😂😂😂😂😂Sio chochote.? Until namba moja dies ndio utaelewa kama sio
Jamanii mwigulu huyu wa Trap na Trat?? Au yupii? Aliyesema watu wahamie Burundi??Mwigulu ni mtu smart sana kichwani kuliko wote hapo juu, ni moja kati ya ma pm smart kuwahi kushika nafasi hiyo sema timing ndo mbaya. Ila kama pangekuwa pametulia basi jamaa angeupiga mwingi mnoo
nyie watu sijui mna mtindio wa ubongo? nchimbi mwenyewe anajua si lolote si chochote kiutendaji, sasa sijui mnaposema nisubiri adie mna maana gani? je asipodie, huyo nchimbi si miaka 5 kazi yake itakuwa ni kwenda kuangalia tu bei ya nyanya tandale?Subiri adie ndo utajua nguvu ya buku
alimtumbua uwaziri wa mambo ya ndani tena akiwa safarini, nasikia alishushwa barabarani, ikabidi atafute boda.Hivi jiwe si aliwahi kumtumbua?
Kauli yake ya "hamieni Burundi" haioneshi hiki unachokisema hapa. Kiongozi mwenye kujali watu wake hawezi kuwatamkia kauli kama hii tena katikati ya mzozo unaogusa maisha yao!Mwigulu ni mtu smart sana kichwani kuliko wote hapo juu, ni moja kati ya ma pm smart kuwahi kushika nafasi hiyo sema timing ndo mbaya. Ila kama pangekuwa pametulia basi jamaa angeupiga mwingi mnoo
Kucomfort kwa kusema "tuhamie Burundi"?. You can't be serious!Nchimbi ana Character zote za Ustatesman kwanza nimtulivu anapojenga hoja, Na anaweza ku comfort Jamii sana
vp ni rais mtarajiwa, hli lilitakiwa/linatakiwa lieweke kwa mgombea na chama piaHii mindset imetugharimu big time. Kwamba kenge yeyote tu anaweza kushika nafasi ya VP. Kamwe hatutakaa tuisahau hii faulty mindset!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wote Hovyo tu
Ndio, baadaye alimrudishaHivi jiwe si aliwahi kumtumbua?