Samia kasema amesikitishwa sana na kifo cha Kardinali Pengo. Hii 'Pole' mmeipokea?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi kulikuwa na umuhimu gani namba 1 kutoa ujumbe huu maana ukisoma comments mtandaoni ni watu wamemaindi kweli hii called "Pole" .

Wakina Machumu wameshindwa kabisa kumshauri kuwa nyakati hizi sio nzuri ni bora tu angekaa kimya?

========

pengo.png

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.Katika kipindi chote cha utumishi wake, Kardinali Pengo alisimama imara katika kuhubiri amani, maadili na mshikamano wa kitaifa.

Alikuwa sauti ya busara katika masuala ya kijamii na kimaadili, akihimiza amani, heshima na utu katika jamii yetu. Mchango wake katika malezi ya kiroho na maendeleo utaendelea kukumbukwa na kuenziwa siku zote.Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu.
 
Pole yake abaki nayo.
Mapadri wametekwa na kushambuliwa hajawahi kutoa pole.
Leo yamemkutia yapi?
Aanze na wa MO29
 
Wakuu,

Hivi kulikuwa na umuhimu gani namba 1 kutoa ujumbe huu maana ukisoma comments mtandaoni ni watu wamemaindi kweli hii called "Pole" .

Wakina Machumu wameshindwa kabisa kumshauri kuwa nyakati hizi sio nzuri ni bora tu angekaa kimya?

========

View attachment 3546553

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.Katika kipindi chote cha utumishi wake, Kardinali Pengo alisimama imara katika kuhubiri amani, maadili na mshikamano wa kitaifa.

Alikuwa sauti ya busara katika masuala ya kijamii na kimaadili, akihimiza amani, heshima na utu katika jamii yetu. Mchango wake katika malezi ya kiroho na maendeleo utaendelea kukumbukwa na kuenziwa siku zote.Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu.
Ila hasikitishwi na vifo vya vijana wa kitanzania zaidi ya elfu kumi (>10,000) aliowaua.
 
10,000 and above hajatoa pole...mashetani wana vituko
 
Pengo alikua mtu sana tena alikua kiungo muhimu kati ya katoliki na serikali tofauti na hawa wa sasa. Hivyo yumkini pole yake ni ya dhati kabisa. Ipokeeni.
 
Wakuu,

Hivi kulikuwa na umuhimu gani namba 1 kutoa ujumbe huu maana ukisoma comments mtandaoni ni watu wamemaindi kweli hii called "Pole" .

Wakina Machumu wameshindwa kabisa kumshauri kuwa nyakati hizi sio nzuri ni bora tu angekaa kimya?

========

View attachment 3546553

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.Katika kipindi chote cha utumishi wake, Kardinali Pengo alisimama imara katika kuhubiri amani, maadili na mshikamano wa kitaifa.

Alikuwa sauti ya busara katika masuala ya kijamii na kimaadili, akihimiza amani, heshima na utu katika jamii yetu. Mchango wake katika malezi ya kiroho na maendeleo utaendelea kukumbukwa na kuenziwa siku zote.Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu.
Neno HAKI na Ft. Kitime yamekuwa maneno magumu kutamkwa
 
Hizo pole huko ✖️ ukiwa TZ wame-block sasa ni kwamba amelenga tu kwa diaspora communities?
Aache unafiki.
 
Back
Top Bottom