Inaitwa X zamani TwitterYani uki find neno HAKI na UWAJIBIKAJI kwenye publication za serikali unapata 0.
Hiyo ni twitter iliyofungiwa?
Shangaa na wewe sijui waliifungia nini kama na wao wanaitumia..!!Yani uki find neno HAKI na UWAJIBIKAJI kwenye publication za serikali unapata 0.
Hiyo ni twitter iliyofungiwa?
Ila hasikitishwi na vifo vya vijana wa kitanzania zaidi ya elfu kumi (>10,000) aliowaua.Wakuu,
Hivi kulikuwa na umuhimu gani namba 1 kutoa ujumbe huu maana ukisoma comments mtandaoni ni watu wamemaindi kweli hii called "Pole" .
Wakina Machumu wameshindwa kabisa kumshauri kuwa nyakati hizi sio nzuri ni bora tu angekaa kimya?
========
View attachment 3546553
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.Katika kipindi chote cha utumishi wake, Kardinali Pengo alisimama imara katika kuhubiri amani, maadili na mshikamano wa kitaifa.
Alikuwa sauti ya busara katika masuala ya kijamii na kimaadili, akihimiza amani, heshima na utu katika jamii yetu. Mchango wake katika malezi ya kiroho na maendeleo utaendelea kukumbukwa na kuenziwa siku zote.Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu.
10,000 and above hajatoa pole...mashetani wana vitukoWakuu,

Neno HAKI na Ft. Kitime yamekuwa maneno magumu kutamkwaWakuu,

Hizo pole huko ✖️ ukiwa TZ wame-block sasa ni kwamba amelenga tu kwa diaspora communities?Wakuu,