Kwamba ulikuwa unatarajia jipya kwakeKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Mkubwa hakoseiKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Anafanya vizuri kwa kuvaa gauni la samia....short of that ni useless!Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Funga kimdomo kichako wewe kikerato kimombaaHata wewe unaweza piga kelele si mbaya
Ndio maana waliangua kicheko hahahaIla kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
Dogo ana mikwara mingi sana
Hahaha yule bwana ni mdogo ndioHiyo ni kauli ya udhalilishaji mkubwa kwa kuweka neno hilo la ki-mtu fulani, yaani kidogo mno kimaumbile isivyo kawaida.
Kila mtu ana haki sawa za kiutu pasipo kujali maumbile yake. Kiongozi anapaswa kutumia lugha ya staha akiwa kama fanani mbele ya hadhira.
Mkuu huyu mama kichwani hakuna kitu. Yaani kamdhalilisha sana na inaonyesha asivyo na utu. Inaonekana amekulia kwenye nazingira ya kinyama kinyama ndiyo maana anakosa busara.Vitu vingine ni vya kuhuzunisha na kusikitisha Sana! No remorse at all!
Dogo anasumbua mboni Nikki wa PIli na Jokate kipindi walipokua huko Kisarawe kwa wakati wao hawakua na hizo pigo zake za kikuda huyu dogo halafu unatuambia wewe ndie mentor wake wewe ndie unaemfua yaan unamfua kua hiviHuyo jamaa anayekamata watu wanaoenda kuangalia viwanja Kisarawe ndio ameambiwa anafanya vizuri??