Samia ni mjinga mpaka haujui ujinga wake.Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Pole sana Brother Magoti, vumilia tu ulimi hauna mfupa.Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Haya kichibikeFunga kimdomo kichako wewe kikerato kimombaa
mawazo useless na completely nonsense kabisa hayo gentlemanKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
😂😂😂😂😂Haya kichibike
Watanzania mnatafsiri sanaKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Acha kusingizia uswahili, hiyo ni uwezo mdogo wa kichwa cha mtuRais wetu ni mswahili Sana anapenda Sana kutumia lugha za mtaani.
Nakumbuka kuna Mzee fulani Ajuza alimwita kibibi
Kama ndo ni haka samia yuko sahihi!
Hiyo ni kauli ya udhalilishaji mkubwa kwa kuweka neno hilo la ki-mtu fulani, yaani kidogo mno kimaumbile isivyo kawaida.
Kila mtu ana haki sawa za kiutu pasipo kujali maumbile yake. Kiongozi anapaswa kutumia lugha ya staha akiwa kama fanani mbele ya hadhira.
Petro nae ni moja wa viongozi wapuuzi akwende zake...nakumbuka kabla ya october 29 alitiishia kuvunja watu miguuVitu vingine ni vya kuhuzunisha na kusikitisha Sana! No remorse at all!
Jamani mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa.Alisema hivi jana kwamba yeye anabwatuka tu.Kama hili pia litaleta shida wasaidizi wake wapo jamani.
Sioni kosa tena kwake maana tayari ameshatufahamisha yupo vipi kichwani
Huenda magoti akatumbuliwa,ana mazonge mengi,mara kuvamia madrasa usiku wa manani,mara kuweka ndani watu wanaenda kununua viwanjaHiyo ni kauli ya udhalilishaji mkubwa kwa kuweka neno hilo la ki-mtu fulani, yaani kidogo mno kimaumbile isivyo kawaida.
Kila mtu ana haki sawa za kiutu pasipo kujali maumbile yake. Kiongozi anapaswa kutumia lugha ya staha akiwa kama fanani mbele ya hadhira.
Sasa magoti ni li?Jumuia za walemavu zitoe tamko. Hii sio sawa mlemavu kuitwa ki-Magoti
Tutafika tu sema kazi tunayo bora yule mwenzake kuna waliosema file lipo milembe sasa huyu mwenzetu sijui limepotea kabisa.Kiongozi atasemaje hadharani " Nywi nywi nywiiiiiiiii"! Aibu.
Kama alivyosema mchangiaji mmoja... Samia ni mjinga kiasia cha kutojua ujinga wake. Yeye anadhani ujinga wake ni ujanja...Kiongozi atasemaje hadharani " Nywi nywi nywiiiiiiiii"! Aibu.