Samia: Ki-Petro Magoti kinafanya vizuri huko Kisarawe

Naungana na hilo andazi, kimtu chenyewe hakijai hata kwenye kiganja utaachaje kukiita Ki-Petro?
 
Ki- inawakilisha mapenzi kwa mtu:
Mfano:
Ki-Penzi changu Kidawa 🤣🤣🤣
 
Hivi vilevi anavyotumia huyu muuaji vimemfikisha pabaya sasa ipo siku na haiko mbali atavua ngua akiwa jukwaani yaani amedata kinoma.
 
Huenda magoti akatumbuliwa,ana mazonge mengi,mara kuvamia madrasa usiku wa manani,mara kuweka ndani watu wanaenda kununua viwanja
Kumbe nawewe unatabiri....sasa kubwa lenu wapumbavu wa ccm anamsifia magoti ...je wewe kuku unaetabiri humu kuwa atatumbuliwa kisa upumbavu unaoitwa madrasa tumuamini nani?
 
Yeye pia ni mlemavu wa akili.
 
Kumbe nawewe unatabiri....sasa kubwa lenu wapumbavu wa ccm anamsifia magoti ...je wewe kuku unaetabiri humu kuwa atatumbuliwa kisa upumbavu unaoitwa madrasa tumuamini nani?
Ukiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
 
Ukiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
Kejeli ipo wapi? Hao ccm ndio wanaotufanyia sisi kejeli kila raisi anaekuja madarakani lazima alizungumzie hilo suala kwa kupiga marufuku na mikwara juu...pumbavu miccm
 
Ukiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
Kwanini mkuu wa nchi adhalilishe viongozi wenzake
Anambagaza kwakuwa ni Mtanganyika na mlemavu huku wazanzibar anawasifia
 
Kwanini mkuu wa nchi adhalilishe viongozi wenzake
Anambagaza kwakuwa ni Mtanganyika na mlemavu huku wazanzibar anawasifia
Kwani magoti ni jitu kubwa mpaka umuite limagoti?..yule si kindululu tu kama kijoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…