Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Unaona ulivyo na akili fupi halafu unasema wewe ni muislamuKwani magoti ni jitu kubwa mpaka umuite limagoti?..yule si kindululu tu kama kijoti
Tatizo ni Rais kutumia lugha ile kwa mteule wake.Yeye aliposema mtapigwa mpaka sura zibadilike sijui ziwe kama nini
Watu walimtukania ulemavu wake sana
Binadamu ndio tulivyo kwa double standards
Kwhy watu wakatapeliwe au sioHuenda magoti akatumbuliwa,ana mazonge mengi,mara kuvamia madrasa usiku wa manani,mara kuweka ndani watu wanaenda kununua viwanja
AiseeKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Kipetro magoti kiliwahi kupiga watu mikwara kumbe ni kipetro tuKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Hiyo nayo ni kubwatukaKauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Hako kadubwana ndiyo kalimuwekea mzee Mangula sumu kwenye maji ya kunywa kana roho mbaya sanaWauaji wanajuana .
Petro ni muuaji kwa kutumia sumu , Samuya amejikita kwenye risasi
Naam, Kikwete alishasema CCM hawaachiani maji ya kunywa mezani.Hako kadubwana ndiyo kalimuwekea mzee Mangula sumu kwenye maji ya kunywa kana roho mbaya sana
hahah kumbe na wewe unaona kuna lugha za kejeli.. nilijua kwako ni kawaidaUkiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
Kwa hiyo watu wanaotaka kutapeliwa unawaweka ndani?Kwhy watu wakatapeliwe au sio
Popoma akiingia kwenye siku zake laZima aje hapa kuwashwa kulazimisha nimkuneMkuu ngara23, kile ki- GENTAMYCINE bado hakijaingia kwenye siku zake?
Naamini kesho atakuja maana mara nyingi siku zake huanza kwenye tarehe 12/13 hivi.Popoma akiingia kwenye siku zake laZima aje hapa kuwashwa kulazimisha nimkune
Sio sahihi kabisaTatizo ni Rais kutumia lugha ile kwa mteule wake.
ππππππKwani magoti ni jitu kubwa mpaka umuite limagoti?..yule si kindululu tu kama kijoti