Samia kila anachokifanya kinayeyuka kama barafu, jamii imemkataa

Hakuna siasa za ushindani Tanzani, kuna siasa za dola kuilinda ccm. Hiki si kizazi cha ccm, ndio maana yanafanyika hadi mauaji ili ccm ibaki madarakani.

Unasema warudi kwenye siasa za ushindani, kwani ni lini waliwahi kutoka kwenye siasa za ushindani, zaidi ya mahakama kutumika kuwazuia?
 
Hakuna chama chenye kumiliki kizazi fulani, sera zinashawishi watu kinachofanyika kinashawishi watu.

Mange na wajinga wenzake huko nje walitaka kuonyesha kwamba chama hakitakiwi katika muda huu, baada ya yule changudoa mzee kuporwa akaunti yake ya whatsapp uanaharakati wote haramu ukapoteza nguvu.

Hakuna tena kijana aliyetoka nje kuandamana tarehe 9 na 25 desemba hata tarehe moja january baada ya ushenzi wa kuhamasisha vurugu kuvunjwavunjwa na watu wa mfumo.

Ujinga wote mnaoufanya ili nchi wakabidhiwe wale wapumbavu wa EU, hakutakuja kutokea ujinga huo.

Nyinyi CHADEMA mpo wachache pia hamuwezi kuwanyima usingizi CCM wenye wanachama zaidi ya milioni 15 nchi nzima. Mlikuja na no reform ikabuma mmekuja na Samia Go na yenyewe inabuma.

Mlialikwa na tume ya uchaguzi kwa kikao maalum mkasusa, mkadhani mnakomoa watu kumbe kuna vyama vingine 16 vyenye utayari wa kushughulika na siasa zile zile ambazo nyinyi mlizisusa.
 
Hakuna wazee 15m nchi hii, ccm ni chama cha wazee kitakuwaje na idadi hiyo? Ama mnadhani kuna wa kuongopea kizazi hiki na hiyo idadi ya kupika? Ccm ingekuwa na sera usingeona huu ushenzi ulioko kwenye chaguzi zetu. Hamna muda mtatoka madarakani hata kwa umwagikaji mkubwa wa damu.
 
Ukiwa unashinda instagram na facebook huwezi kuyajua yanayoendelea huko mikoani, tatizo lile lile la vijana wengi walioingia mtaani kuandamana. Ukosefu wa uelewa mpana wa nini kinachotokea nchini mwao!.
 
Ukiwa unashinda instagram na facebook huwezi kuyajua yanayoendelea huko mikoani, tatizo lile lile la vijana wengi walioingia mtaani kuandamana. Ukosefu wa uelewa mpana wa nini kinachotokea nchini mwao!.
Usiwe unashinda kwenye keyboard uwe unakwenda kitaani uwaulize kweli kama wanampenda huyo kahaba wenu mnayempamba kwa nyimbo na mapambio !
 
Usiwe unashinda kwenye keyboard uwe unakwenda kitaani uwaulize kweli kama wanampenda huyo kahaba wenu mnayempamba kwa nyimbo na mapambio !
Tembea huko mikoani msidanganywe na hawa vijana wanaopanda madalala humu Dar. Wapo wengi muda huu wanawezeshwa kwenye kilimo kupitia wizara ya kilimo kule Dodoma na mikoa mingineyo.

Wapo vijana wengi wanakopeshwa matrekta muda huu, hao ndio muongee nao sio hawa vijana wa Dar wasio na majukumu yoyote, wavivu wanaoishi kwa mipango ya wizi.

Wapo vijana wengi wanaoshirikiana na wizara mbalimbali katika kutafuta fursa hao ndio muwaulize kama wameichoka CCM au la.

SIo wale vibaka walioandamana kwa ajili ya kuvizia maduka yavunjwe wao wapate mwanya wa kuiba simu na mitungi ya gesi.

Simu zimeibiwa sana kwenye maduka ya shekilango, kama unamjua mtu aliyenunua kwa watu katika miezi kuanzia wa kumi na moja mwambie awe makini.
 
Ukiwa unashinda instagram na facebook huwezi kuyajua yanayoendelea huko mikoani, tatizo lile lile la vijana wengi walioingia mtaani kuandamana. Ukosefu wa uelewa mpana wa nini kinachotokea nchini mwao!.
Wengi humu hatujaenda Africa kusini, Ulaya ama America lakini tunajua maendeleo yao, hayo ya kwenu ni yapi hadi tuende ndio tuyaone?
 
Clement Mwandambo leo kamtetea..
Watu washa anza kumshukia..
 
Kuchangia kwa kulipwa hera ni kazi sana
 
Sisi huku bara wengi wetu tunafahamu kitu gani anakifanya.
Kwani ni Rais wa Bara peke yake?
Mange na Maria wameshindwa kuitisha maandamano, kila wakijaribu watu wanaishia kuwakejeli tu kwa maoni ya dhihaka.
Mnatengeneza multiple ID na kujifanya ''watu''. Rating na followers wa Maria na Mange wanazidi kuongezeka. Inakuwaje hivyo?
Tunaposema kuna uasi kutokea nje ya Tanzania tunamaanisha ile nguvu iliyopo nyuma ya chuki dhidi ya SSH na serikali yake.
Hapa ndipo mnakosea! Msiangalie mlipo angukia, angelieni mlipo jikwaa. Swali ni kwanini kuna chuki?
Yeye ni wa 6 , kwanini inatokea sasa?

Tatizo lenu ni kutotumia kanuni za ''Engineering'' za ''5 why''. Mnatafuta flimsy reasons badala ya majibu sahihi.

Mfano unaongelea ujenzi wa barabara n.k. hayo si tatizo, tatizo ni kwanini MO29 ikiwa barabara zinaonekana. Mnasingizia Wakenya wakati mahabusu imejaa Watanzania!!! Hivi mnadhani watu ni wajinga kiasi hicho?

Mfano wa pili, kuna watu wanatafuta wapendwa wao mortuary hadi sasa, huyu utamwambia daraja atakuelewa?

Najua mnachofanya ni ku change narratives kutoka MO29 hadi ujenzi wa madarasa. Hiyo ni njia hafifu sana ya damage control. The golden rule ya damage control kwanza ku appreciate tatizo, pili reach out upande wa pili , tatu kuwa Humble n.k. Ukisikiliza wahusika, je wanatumia hayo?
Kwanini Watanzania walikufa kwa kupigana na Mreno kule Msumbiji na kutoa rasilimali kwa nchi za SADC?

JokaKuu
 
Wewe kweli pumbavu kabisa kijana gani amekopeshwa tqekta ? mimi njnalima mpunga maeneo ya Lusu Nzega na Dumila Morogoro sijaona kijana aliyekopeshwa trekta acha utapeli wa Bashe aliyepiga mamilioni kwenye mradi hewa wa BBT..
 
Wewe kweli pumbavu kabisa kijana gani amekopeshwa tqekta ? mimi njnalima mpunga maeneo ya Lusu Nzega na Dumila Morogoro sijaona kijana aliyekopeshwa trekta acha utapeli wa Bashe aliyepiga mamilioni kwenye mradi hewa wa BBT..
Hujaona wewe kwa sababu ya akili za wanasiasa lakini wapo wengi tu.

Tafuta tusi jipya hayo yote ya zamani, wamesikika kabla sisi hatujazaliwa mpaka leo yanasikika.
 
Umeongea mengi unachosahau ni ukweli kwamba kadri nchi inavyozidi kupiga hatua inajitengenezea uadui kutoka kwa maadui wa nchi za nje na humu humu.

Chuki ipo kwa sababu ya uelewa mdogo wa kile kinachofanyika hivyo wananchi wanaamua kuja na tafsiri tofauti zilizopotoshwa kujaribu kuishusha thamani serikali yao, Hiyo inaitwa demokrasia inatengeneza uhuru wa maoni ambao una haki ya kuwa mbadala wa kile kinachofanywa na serikali.

Mahabusu duniani kote zinajaa raia wa nchi husika, hakuna jipya katika hilo. Labda uongelee namna ambavyo hizo mahabusu zinavyoweza kuwa na mazingira wezeshi na rafiki kwa wanaokuwemo humo ndani.

Wakenya washenzi tu, walianza na Martha Karua na yule jamaa Robert, waliochangia kutuvuruga ni kundi hilo hilo moja.

Suala la kutafuta wapendwa limetokea mara moja tu katika historia ya Tanzania hutalisikia likitokea tena. Hutasikia tena raia wakipigwa risasi kama ilivyotokea tarehe 29 October.

Serikali imejishusha baada ya Waziri Nanauka anayeshughulikia masuala ya vijana kuanza kupeleka sera zake kwa makundi makubwa ya vijana, Waziri msikivu anayewakilisha serikali sikivu.
 
Utakuwa na shida ya kiroho sio bure.
Maana hata km unatafuta pesa sio kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…