Please stop this madness! Tanzania ni moja ya Nchi 25 masikini sana Duniani. Kuna kundi la G7 , G20 na Fast developing coountries! Tanzania kundi lake ni HIPC, mikutano ya HIPC ni kule Paris! Kenya si miongoni mwa Nchi 25 masikini. Nani anatuonea wivu au uadui!Umeongea mengi unachosahau ni ukweli kwamba kadri nchi inavyozidi kupiga hatua inajitengenezea uadui kutoka kwa maadui wa nchi za nje na humu humu.,
Ikiwa Wakenya ndio walikuja kuleta vurugu, mbona waliojaa mahabusu kutokana na MO29 ni Watanzania?Mahabusu duniani kote zinajaa raia wa nchi husika, hakuna jipya katika hilo.
Martha Karua, Willy Mutunga na Agatha walivunja sheria gani kuhudhuria kesi Mahakamani?Wakenya washenzi tu, walianza na Martha Karua na yule jamaa Robert, waliochangia kutuvuruga ni kundi hilo hilo moja.
Inawezekanaje miili ya Watu ipotee bila kuwafikia Wapendwa wao! Hili ni swali lilobaki hewani , bila majibu tunatibu vipi nafsi za Wapendwa zinazohangaika?Suala la kutafuta wapendwa limetokea mara moja tu katika historia ya Tanzania hutalisikia likitokea tena. Hutasikia tena raia wakipigwa risasi kama ilivyotokea tarehe 29 October.
With all due respect anachokifanya Nanauka ni nonsense! Ni upuuzi uliobobea. Ni parroting bila kutumia akili.Serikali imejishusha baada ya Waziri Nanauka anayeshughulikia masuala ya vijana kuanza kupeleka sera zake kwa makundi makubwa ya vijana, Waziri msikivu anayewakilisha serikali sikivu.
Utekaji, mauaji na kuminywa demokrasia hayo matatizo ya dunia nzima kwa sasa, tazama kile ICE wanachofanya kule US muda huu hakina tofauti yoyote na kinachotokea Tanzania na katika mataifa mengi duniani.Please stop this madness! Tanzania ni moja ya Nchi 25 masikini sana Duniani. Kuna kundi la G7 , G20 na Fast developing coountries! Tanzania kundi lake ni HIPC, mikutano ya HIPC ni kule Paris! Kenya si miongoni mwa Nchi 25 masikini. Nani anatuonea wivu au uadui!
Ikiwa Wakenya ndio walikuja kuleta vurugu, mbona waliojaa mahabusu kutokana na MO29 ni Watanzania?
Martha Karua, Willy Mutunga na Agatha walivunja sheria gani kuhudhuria kesi Mahakamani?
Kuna sheria gani ya Nchi inayozuia Raia wa nje kutofika Mahakamani kusikiliza kesi?
Inawezekanaje miili ya Watu ipotee bila kuwafikia Wapendwa wao! Hili ni swali lilobaki hewani , bila majibu tunatibu vipi nafsi za Wapendwa zinazohangaika?
With all due respect anachokifanya Nanauka ni nonsense! Ni upuuzi uliobobea. Ni parroting bila kutumia akili.
Nani amesema tatizo la vijana ni sera! CCM ipo madarakani miaka 64 eti baada ya MO29 ndio wanazungumzia sera. Kuna Ilani gani ya CCM iliyokosa sera za Vijana!
Nanauka aache kupoteza rasilimali za Umma! Msiwafanye Vijana ni majuha kwamba hawajui kinachoendelea.
Tatizo mnalijua; Utakaji, kupotezwa watu , mauaji yasiyo na maelezo, kuminywa Demokrasia, matumizi ya rasilimali za Umma. Msiwafanye Watanzania Majuha! ilifanyika hivyo, baada ya MO29 hamjajifunza?
Hakuna anayepumua juu ya uso wa dunia asiye na shida ya kiroho. Mtaendelea kuwa manabii wa majanga wakati SSH na serikali yake wakizidi kupiga kazi.Utakuwa na shida ya kiroho sio bure.
Maana hata km unatafuta pesa sio kihivyo.
Swali, mbona hatukayoona miaka ya nyuma? kwanini Watanzania walalamike sasa, ile kisiwa cha amani ipo wapiUtekaji, mauaji na kuminywa demokrasia hayo matatizo ya dunia nzima kwa sasa,
Marekani mtu kauwawa na watu nchi nzima wanafuatilia ilikuwaje. Je ndicho kilichotokea Tanzania?tazama kile ICE wanachofanya kule US muda huu hakina tofauti yoyote na kinachotokea Tanzania na katika mataifa mengi duniani.
Kama hakuna Mwanaharakati Mtanzania mwenye interest na kesi za Kenya hiyo ni hiari yao. Je, ukienda kusikiliza kesi Kenya unakamatwa na kupigwa kama akina Martha na Agatha!Umeshawahi kuona mwanaharakati wa Tanzania anakwenda kusikiliza kesi ya siasa za Kenya pale Nairobi?. Huwezi kumkuta hata siku moja, wao kina nani waje hapa na kuanza kujikita kwenye uanaharakati katika ardhi ambayo sio ya kwao?. Kisa ujirani wetu ndio iwe nongwa?.
Mfumo wa ulinzi ni kuwalinda Watanzania si kuwawinda !Walioandamana waliidharau nchi yao wenyewe wakaja na underestimation za ajabu kwa mfumo mzima wa ulinzi.
Absolutely nonsense! mtu anamtafuta kaka yake , baba yake, mwanae , mdogo wake mortuary halafu unamkalisha chini kumweleza sera!! By the way si kuna sera za CCM za miaka nenda rudi kipi kisichojulikanaLeo anachokifanya Nanauka unaita nonsense asingechukua hatua za kuwafikia hao vijana bado ungesema serikali hii ni nonsense kwa kutowafikia vijana na kujua nini haswa tatizo lao. Hakuna jema unaloweza kuliona!.
Ndio maana watu wanasema CCM imeshindwa! wapo frustrated kwasbabu miaka 65 ya Uhuru CCM imeshindwa kufungua fursa hizo! usiniambie kuna mtu anatamani umasikini! usiniambie kuna mtu hana akili ya kutafuta!Kuna fursa nyingi sana za kiuchumi ambazo zinazaliwa kadri nchi inavyofunguka kila siku, kadri ule mpango wa kuelekea Tanzania ya 2050 unavyoingia katika uhalisia wa kivitendo.
Tunaongezeka idadi kumbuka Tanzania ya 1980 sio ya 2025, changamoto mpya zinaibuka haswa kutokana na rasilimali zile zile kuendelea kutumiwa na kundi kubwa la watu.Swali, mbona hatukayoona miaka ya nyuma? kwanini Watanzania walalamike sasa, ile kisiwa cha amani ipo wapi
Marekani mtu kauwawa na watu nchi nzima wanafuatilia ilikuwaje. Je ndicho kilichotokea Tanzania?
Kama hakuna Mwanaharakati Mtanzania mwenye interest na kesi za Kenya hiyo ni hiari yao. Je, ukienda kusikiliza kesi Kenya unakamatwa na kupigwa kama akina Martha na Agatha!
Swali, ni sheria gani ya Tanzania inayokataza raia wa nchi za nje asifike mahakamani. Usilete hisia zako , zungumzia kisheria.
Mfumo wa ulinzi ni kuwalinda Watanzania si kuwawinda !
Absolutely nonsense! mtu anamtafuta kaka yake , baba yake, mwanae , mdogo wake mortuary halafu unamkalisha chini kumweleza sera!! By the way si kuna sera za CCM za miaka nenda rudi kipi kisichojulikana
Nanauka ana jibu gani kwa boda boda anayetakiwa kuwa na mali isiyohamishika ili apate mkopo Bank
It's all about bla bla bla. Nananauka anapata milioni takribani 20 kwa mwezi anakwenda kuhubiri watu wajiajiri. Nanauka anatembelea gari la milioni 400 halafu anamwambia kijana asiyeweza kununua bodaboda ya 1.2 milioni atumie akili kufungua fursa! nonsense
Ndio maana watu wanasema CCM imeshindwa! wapo frustrated kwasbabu miaka 65 ya Uhuru CCM imeshindwa kufungua fursa hizo! usiniambie kuna mtu anatamani umasikini! usiniambie kuna mtu hana akili ya kutafuta!
Tatizo si watu wala rasilimali, bali viongozi wasio na maono. Miaka 65 tumesikia Azimio la Iringa la Kilimo, Azimio la Moshi, Kilimo Kwanza na sasa BBT! tell me kipi kimetoa matokeo! no consistency kwasababu viongozi hawana maono wala hawapo kwa kufikiria Wananchi!
JokaKuu
Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapunguaTunaongezeka idadi kumbuka Tanzania ya 1980 sio ya 2025, changamoto mpya zinaibuka haswa kutokana na rasilimali zile zile kuendelea kutumiwa na kundi kubwa la watu.
Mawazo ya kimasikini , kijinga na hovyo sana. Nimekupa mifano ya China, India na Kenya hapo juu.Watu tunaongezeka rasilimali haziongezeki, kile kile kilichotutosha watu watano mwaka 1985 kinatakiwa kitutoshe watu kumi mwaka 2025, matatizo makubwa yanaanzia hapo.
Viongozi hawahitaji magari ya milioni 200 au 400. Wanaweza kutumia RAV 4 kwasababu lengo ni kufikaTusitazame gari lenye thamani ya shilingi milioni 200 analotumia waziri tutazame namna gari hilo linavyoweza kutengeneza tija kwenye wizara husika.
Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapungua
Mapori yasiyotumika kwa njia yoyote yapo kila kona ya nchi hii.
Upepo unaoweza kuzalisha nishati haujapungua. Jua linaloweza kutoa nishati halijapungua
China population mwaka 1977 ilikuwa 943 Milion( leo ni 2 B). China ilikuwa kundi la Group 77 lililofanya mkutano Arusha . India population mwaka 1977 ilikuwa 643 Million (leo ni 1.5 B)
China imetoka group 77 leo ni second Economy in the World. Tanzania bado tupo nchi masikini 25 Duniani
USA, Australia, Canada , New Zealand n.k. zina program za Immigrantion ili kuongeza population
Maana yake ni kwamba Population ni kitu muhimu katika Uchumi
Tatizo ni kwamba Population unaigeza vipi iwe Human Capital! Hapa tumefeli kwasababu viongozi wana mawazo kama yako ya kulaani population badala ya kuitumia kama Capital
India wanatumia Human Capital kwa Technology. Raia wanafanya remittance India, wanarudi kuwekeza India na kufanya mambo kama kurusha satelite kwenda anga za juu.
Kenya Wanafanya Human Capital ya Watalaam kwenda nchi za Ulaya.
Tanzania tumeshindwa kama unavyosema '' population imeongezeka hakuna resources'' STUPID
Tanzania inaweza kuwa 'Basket' ya Kilimo nchi za SADC na Africa. Hatuna excuse isipokuwa UJINGA
Tunatumia pesa nyingi kuendesha Bunge kuliko Elimu na Kilimo. Tunatumia pesa nyingi kununua V8 badala ya Matrekta. Tunatumia pesa kuagiza deraya za Polisi badala ya kuwekeza katika Utalii
Nanauka anapita kueleza nini! anajua India , Korea na China wamefanikiwa vipi. Maendeleo si kupanda juu ya V8 na kuhutubia bodaboda. Inahitaji akili kubwa!
JokaKuu
Mnachofanya ni uafrika huo huo unaouponda kwenye andiko lako!.Mawazo ya kimasikini , kijinga na hovyo sana. Nimekupa mifano ya China, India na Kenya hapo juu.
Viongozi hawahitaji magari ya milioni 200 au 400. Wanaweza kutumia RAV 4 kwasababu lengo ni kufika
Kwa bahati mbaya sana nchi za Afrika ufahari ni sehemu ya uongozi.
Waziri wa Uingereza, Marekani, Sweden , Ujeruman wanatumia magari unayoweza kununua! siyo V8
Chancellor A. merkel wa German amestaafu baada ya miaka zaidi ya 20 akiongoza Ulaya. Gari anayotumia ni BMW unayoweza kuipata katika mitaa ya Dar kwa mtu wa kawaida.Waziri mkuu wa zamani wa UK anatumia Opel
Tunahitaji viongozi wanaobadilisha maisha ya watu , V8 haibadilishi maisha ya mtu zaidi! ni anasa tu
Afrika utashangaa gharama za Magari ya viongozi na misafara yao! halafu unasema hatuna resources! nonsense
JokaKuu
Kusambaza mbole si hoja, tumesambaza tokea Uhuru. The question is matokeo yake ni yapi tunaagiza chakula?Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.
Well, China imebadilishwa na WANAHARAKATI. Unajua Tianmen square na the Tank man?Unataka kujilinganisha na China wakati wao mfumo wao wa uongozi hauingiliwi na nyinyi wanaharakati?.
Ulafi wa madaraka tu! Botswana, South Africa na Ghana wamewezaje!Huku Afrika tumeuziwa demokrasia ya kizungu katika mfumo wa maisha wa kiafrika!. Tatizo linaanzia hapo.
Hee kuna Raia wa Tanzania anayeruhusiwa kumiliki silaha za kivita! kwani tunaponunua magari kama ya Polisi Wazungu wametushurutisha! Kama tunauana ni kwasababu tu ya uroho na akili za kiafrika si Wazungu.Mzungu anataka tuishi kwa uhasama siku zote atuuzie silaha, tuwe badala ya kuongelea uzalishaji mkubwa tuendelee kuwindana kama fisi na simba maporini!.
Chama kimoja kilifeli! tulikuwa nacho, CCM!Mzungu anatuuzia vyama vingi ili tupate sababu za kuwindana haalfu tunanunua silaha za kina Soros sawa na kina Somalia, Sudan, Nigeria hapendi uwepo wa umoja wa waafrika aliouimba Bob Marley anajua madhara yake.
Kwasababu tunawekeza katika upuuzi, wao wanawekeza katika elimu na maarifa.Teknolojia China wanazo za kwao Tanzania anavumbua kitu gani cha maana?. Ongezeko lao la watu haliwezi kuwasumbua wanazalisha kwa teknolojia za kisasa.
hebu nitajie bei ya mifuko ya mbolea tofautitofauti kabla sijakujibu swali lako?Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.
Unataka kujilinganisha na China wakati wao mfumo wao wa uongozi hauingiliwi na nyinyi wanaharakati?. Siasa zao huwezi kuzifananisha na za nchi yoyote ya Afrika.
Huku Afrika tumeuziwa demokrasia ya kizungu katika mfumo wa maisha wa kiafrika!. Tatizo linaanzia hapo.
Mzungu anataka tuishi kwa uhasama siku zote atuuzie silaha, tuwe badala ya kuongelea uzalishaji mkubwa tuendelee kuwindana kama fisi na simba maporini!.
Mzungu anatuuzia vyama vingi ili tupate sababu za kuwindana haalfu tunanunua silaha za kina Soros sawa na kina Somalia, Sudan, Nigeria hapendi uwepo wa umoja wa waafrika aliouimba Bob Marley anajua madhara yake.
Teknolojia China wanazo za kwao Tanzania anavumbua kitu gani cha maana?. Ongezeko lao la watu haliwezi kuwasumbua wanazalisha kwa teknolojia za kisasa.
Mpaka muda tunavyoongea Tanzania imekuwa ikipeleka mahindi kwa hao hao Wakenya imepeleka msaada wa chakula Msumbiji na Malawi walipopata majanga ya mafuriko.
Mungu ibariki Tanzania.
Uwekezaji kwenye kilimo unakwenda sambamba na wa kwenye utalii, wazungu wanaleta pesa nyingi kwenye utalii kulinganisha na tija inayotokana na kilimo.Kusambaza mbole si hoja, tumesambaza tokea Uhuru. The question is matokeo yake ni yapi tunaagiza chakula?
Kusambaza mbole kumesaidia vipi tatizo la ajira , kumeongeza vipi pato la Taifa. Kwanini utalii unazidi Kilimo ikiwa 90% ya Watanzania wanakitegemea.
Well, China imebadilishwa na WANAHARAKATI. Unajua Tianmen square na the Tank man?
Maandamano ndiyo yalifungua China, watu wakaruhusiwa kusafiri, kuwekeza , kuleta mitaji , kuiba teknolojia n.k
Ukienda Arusha kuna Hotel inaitwa 77! hapo ndipo Mkutano wa Nchi masikini ulifanyika na China ikiwa mojawapo. Leo Wenzetu ni namba 2 sisi bado tunahimiza kuchimba matundu ya vyoo.
A.Einstein alisema '' akili iliyotengeneza tatizo haiwezi kuleta ufumbuzi wake''. CCM miaka 65 tunahimizana kuchimba matundu ya choo yenye kina! Nyerere akiondoka shule zina vyoo vya kisasa , sasa hivi tunarudi 1940
Ulafi wa madaraka tu! Botswana, South Africa na Ghana wamewezaje!
Hee kuna Raia wa Tanzania anayeruhusiwa kumiliki silaha za kivita! kwani tunaponunua magari kama ya Polisi Wazungu wametushurutisha! Kama tunauana ni kwasababu tu ya uroho na akili za kiafrika si Wazungu.
Ununue silaha umchape ndugu yako barabarani halafu umsingizie George Soros! please
Chama kimoja kilifeli! tulikuwa nacho, CCM!
Kwasababu tunawekeza katika upuuzi, wao wanawekeza katika elimu na maarifa.
JokaKuu
Nenda kaulize kwenye maduka ya nafaka yamejaa hapa Dar na mikoani wapo mawakala wao.hebu nitajie bei ya mifuko ya mbolea tofautitofauti kabla sijakujibu swali lako?
Hili andiko lako kila mwenye akili timamu akilisoma lazima roho imuume.Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapungua
Mapori yasiyotumika kwa njia yoyote yapo kila kona ya nchi hii.
Upepo unaoweza kuzalisha nishati haujapungua. Jua linaloweza kutoa nishati halijapungua
China population mwaka 1977 ilikuwa 943 Milion( leo ni 2 B). China ilikuwa kundi la Group 77 lililofanya mkutano Arusha . India population mwaka 1977 ilikuwa 643 Million (leo ni 1.5 B)
China imetoka group 77 leo ni second Economy in the World. Tanzania bado tupo nchi masikini 25 Duniani
USA, Australia, Canada , New Zealand n.k. zina program za Immigrantion ili kuongeza population
Maana yake ni kwamba Population ni kitu muhimu katika Uchumi
Tatizo ni kwamba Population unaigeza vipi iwe Human Capital! Hapa tumefeli kwasababu viongozi wana mawazo kama yako ya kulaani population badala ya kuitumia kama Capital
India wanatumia Human Capital kwa Technology. Raia wanafanya remittance India, wanarudi kuwekeza India na kufanya mambo kama kurusha satelite kwenda anga za juu.
Kenya Wanafanya Human Capital ya Watalaam kwenda nchi za Ulaya.
Tanzania tumeshindwa kama unavyosema '' population imeongezeka hakuna resources'' STUPID
Tanzania inaweza kuwa 'Basket' ya Kilimo nchi za SADC na Africa. Hatuna excuse isipokuwa UJINGA
Tunatumia pesa nyingi kuendesha Bunge kuliko Elimu na Kilimo. Tunatumia pesa nyingi kununua V8 badala ya Matrekta. Tunatumia pesa kuagiza deraya za Polisi badala ya kuwekeza katika Utalii
Nanauka anapita kueleza nini! anajua India , Korea na China wamefanikiwa vipi. Maendeleo si kupanda juu ya V8 na kuhutubia bodaboda. Inahitaji akili kubwa!
JokaKuu