Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Amka utajikojolea.View attachment 3592075
Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma.
📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe
📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata
📌Dar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6
Kuna vibarabara vya 2km vya DMDP vinewashinda kumaliza huku mtaani. Wamechimba mashimo wameacha yanajaa maji tunafuga kambale. Sasa bahatika kuona inayotengenezwa uone vituko vya mkandarasi wa kichina mpaka unashangaa kwanini walimpa huyu maana kuna wazawa wanafanya kazi nzuri kuliko hawa jamaa.Hahahaaa!! Ngoja kwanza nicheke. Kama zilizopo zinamshinda mpk ss tangu afe JPM road ya ubungo mataa n mpk kimara bado kuisha. Je ni miaka mingapi? Najua Mello na CCM mtafuta comment yangu.
Kazi ni kipimo cha utu