Samia leo umenikwaza mno mno mno

Naomba vaa viatu vyangu/vyetu wengi , fuatilia post zangu niliumia mno kuharibu mali za watu sio maanamano. mfano mdogo kupata milioni 300 leoo ni kazi kidogo inakuja mtu anakuchomea gas station yako wakati hana ushahidi inahisika na mafisadi, wanamchomea mtu biashara yake ndo anakula hapo , anatunza mke watoto wake hapo na kulea wazazi wake hapo , YEYE AISHI KAMA NANI YAANI ANA UTOFAUTI GANI MKUBWA WA UPEKEE KULIKO MAMA YANGU ALIYENIZAA watoto wangu wanaonikumbatia asubuhi huku waniiita dady we love you, kweli huyo mbwa anayejiita GENZ KIBAKA, MWIZI, JAMBAZI ni wa kumsahehe? leo wamechoma mwendokasi hajui hata anayetumia ni yeye , SAMIA, MWIGULI HATA MIMI SIJAWAHI KUPANDA DALADALA toka 2001 na sintopanda hata basi ya mkoani sipandi lakini watu wangu wanapanda na wanaumia kisa mbwa koko anayejiita GNZ DAWA NI KUTOKOMEZA MBEGU CHAFU YOTE NYONGA WAPIGE RISAS
 
sawa sasa kwa huu umri sijui kama watakubbali ndo nimefikisha 50 kamili najiona mzee
Dah, kweli itakuwa ngumu.
Bora usubirie kuinua mgongo kisha ujenge afya yoko mkuu maana umri wa kufanya ngona umekwisha.
 
Dah, kweli itakuwa ngumu.
Bora usubirie kuinua mgongo kisha ujenge afya yoko mkuu maana umri wa kufanya ngona umekwisha.
mhhh sasa hivi ndo vibinti vinanipa kweli kweli , na uzuri nilishaacha ajira 2012 october 14 tena ughaibuni nikaanza kujiajiri mpka leo , kiuchumi nipo nipo vizuri na afya bado nzima sana labda kuanzia 65 ndo ntaanza kuweweseka
 
Hahaha πŸ˜‚, ni kawaida vibinti kutubariki baby zao ili tujihisi wenye furaha, lakini kwa upande mwingine wanaamini sisi wazee tuna moyo wa kutoa chochote kitu.
 
Hahaha πŸ˜‚, ni kawaida vibinti kutubariki baby zao ili tujihisi wenye furaha, lakini kwa upande mwingine wanaamini sisi wazee tuna moyo wa kutoa chochote kitu.
Kibinti anakuja kajipimp anajua anakupiga mzinga laki 2 kumbe una milioni 600 unampa laki 5 anakuona mzungu wa rohooo kinomaaaa na kila ukisafiri nje ukirudi umewabebea vizawadi na shoping looooo mpaka wazungukana marafiki zake wenyewe wankupa papuchi kinomaaaa
 
Binti anajua anakupiga kumbe wewe ndiye unayempiga πŸ˜‚
 
Binti anajua anakupiga kumbe wewe ndiye unayempiga πŸ˜‚
kabisaaaaa na wanajichanganya kila akimleta rafiki yake nashangaa baadae rafiki yake naye anaitext wewe mzee una roho nzuri nina kitu nataka kukuambia? akija anaanza kumsagia kunguni mwenzake kuwa namjali sana yaani angekuwa yeye angenipa makubwa zaidi ahaa ahaaaa namgonga na yeye na yeye anazungunkwa tena na wenzake
 
Ila we mzee unatisha sana πŸ˜‚.
Kwa hiyo unawabadilisha kama soksi kisa unamkwanja πŸ˜€.
 
Binti anajua anakupiga kumbe wewe ndiye unayempiga πŸ˜‚
yaaani ndo maana naipenda sana Tanzania nchi tamu kuliko yaani wewe ingiza kuanzia milioni 10 tu kwa mwezi basi inatosha utawafaidi mpaka basi shepu mbali mbali rangi zote na wenye ujuzi wote na hutasikia una kibamia kila mmoja wewe baba mtamu balaaa anheee hata kama uongo
 
Mbona unaandika upoyoyo we mjuba? Wale wa vyeti feki kama waliajiriwa miaka thelathini au ishirini haikuwa vema kuwatimua kazi, ulikuwa ni ukikaji wa mikataba ya kazi. Kwenye suala la gen z kuna la ajabu kuachiwa? Wale vijana wangeachiwa tu maana ile kesi yao ilikuwa ya kisiasa. Kesi za kisiasa huishia njiani. Watu tunataka amani na maridhiano mjuba. Kama hujui nguvu ya kusamehe na kuomba msamaha sema uambiwe nguvu zake. Mbona una roho ya kikatili hivyo?
 
Ila we mzee unatisha sana πŸ˜‚.
Kwa hiyo unawabadilisha kama soksi kisa unamkwanja πŸ˜€.
nilisota miaka ya 1992 mpaka 1996 sitasahau natongoza demu mmoja kwa muda mrefuuuuu kwa kupiga sound mpaka basi , kukomaaa kugombana na wenzio mno na bado ukipata unashindanishwa na wenzako usenge mtupu kumbe bana ilikuwa umaskini tu
 
hiyo bado ni trailler show yenyewe inakuja, vp uchunguzi wa mauaji ya mzee ally kibao upo wapi?? kwahiyo hatulaghaiki tena na ngonjera
 
ndugu nadhani hujawahi kupata hasara ndo maana unaandika hivi, vuta picha umejiajiri umefikisha mtaji kiasi flani halafu unashuka ghafla kwa sababu ya watu na kupanda tena ilivyo kazi ngumu ndo ungejua wale wengi walikuwa majambazi na vibaka na hawatakiwi kabisa kuishi maana ni mbegu mbayo itarudia tu kesho ukiwaachia ndo maan china huwa wahalifu wanuawa na watoto wao wanawekwa under surveilance
 
Kibamia maana yake ni kutokuwa na pesa, full stop.
 
hiyo bado ni trailler show yenyewe inakuja, vp uchunguzi wa mauaji ya mzee ally kibao upo wapi?? kwahiyo hatulaghaiki tena na ngonjera
sawa sina neno ni nyie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…