Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.
naibu pm kivuliUongo huo atakuwa msaidizi gani kwa nafasi gani? Huyu muongo sana
naibu pm kivu
majaliwa kazi imemalizikaUnatoka kuwa PM unakuwa naibu pm hayo si matope! Anawadanganya wana Ruangwa anajua jinsi walivyo mataahira na ndio maana wamemshangilia alipowadanganya. Baada ya pm ni vp kama kweli anathamini alichokifanya angemteua awe mgombea mwenza ili baada ya uchaguzi awe vp tofauti na hapo ni utapeli wa kipakistan.
Inawezekana. Si kama Kikwete tu, kwani Kikwete ana nafasi gani serikaliniUongo huo atakuwa msaidizi gani kwa nafasi gani? Huyu bibi muongo sana
Kikwete ni "RAIS" Samia ni "rais"Inawezekana. Si kama Kikwete tu, kwani Kikwete ana nafasi gani serikalini
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.
hiyo ahadi yake ina umuhimu gani kwa hao wananchi ? itatatua matatizo na mahitaji yao kama wananchi?Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.