Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za kishindo.