Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kura za ukabila ?? Vipi akienda ntu ambae sio Npemba? Atasemaje? Watampa ? Kigezo sio uwezo sera kumbe ? Ni ukabila ?Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za kishindo.
Mbona mwendazake alikipiga KISUKUMA kwenye kampeniiHivi ni kwa nini INEC isimpe onyo au kumuondoa kwa tamko hilo la ukabila la upemba? INEC Mko fofofo sana...
Ni uthibitishi mwingine wa hao INEC kuendeleza ufofofo wao...Mbona mwendazake alikipiga KISUKUMA kwenye kampenii
πππ Akifika Mwanza yeye ni chifu mwenzaoMgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za kishindo.
Kampeni za rushwa, udini na ukabila.Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za kishindo.