Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #61
Rudi kwenye manyuzi yako ya mahusiano.
Naona unazungumzia Urais kwenye Mduara wa HISIA .
Huna hoja. Kilaza hata akikaa kimya mienendo yake itawafanya watu wafukunyue mafaili yake
Kama ndivyo damu za WaTanganyika wenzetu hazitowaacha salama!Hakusema walitumia nguvu inayostahili?
Alikiri kwa upande wangu.
Wanaprove kwa sababu vielelezo wanavyoHakuwahi kukataa hoja yako.
Tofauti na wengine walipoguswa kuhusu PhD na kingereza chao Kila Siku kujitetea na ku-prove kwamba Wanazo.
Wewe uliwahi kumuona Samia Akiprove wanaomkejeli ni Kilaza kwamba yeye ni Kipanga?
Suleiman anasema sio wenye farasi washindao kwenye mbio. Na sio wenye akili na hekima wapatao utajiri
Hayo ndio maisha mkuu.
Samia anamabaya mengi ndio. Na Kila Siku unayataja.
Unaweza ukanitajia hata jema lake moja tuu kama kweli wewe ni mwenye Haki?
Wanaprove kwa sababu vielelezo wanavyo
Sasa asiye navyo ataprove vipi?
Pia broken English sio sababu ya kufanya awe kilaza la hasha Kuna wasomi wengi tu na hata mwalimu wangu wa Mathematics alikuwa hajui kutamka mwanza Bali yeye anaitamka Ng'waza hata umuue mwingine kusema labda alikuwa hajui anasema lauda uache shule....