Samia, msamaha wako tumeukataa na sisi siyo vijana wako. Tukutane D9

Samia, msamaha wako tumeukataa na sisi siyo vijana wako. Tukutane D9

Status
Not open for further replies.

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watu wa MUNGU

Huu msamaha wa huyu muuwaji tumeukataa rasmi

Kwanza hauna vigezo wa kuitwa msamaha, sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi

Kingine sisi siyo vijana wako tafadhari sana Samia tumia akili japo kidogo

Tukutane tarehe D9

SAYUNI BOY
 
Amani iwe nanyi watu wa MUNGU

Huu msamaha wa huyu muuwaji tumeukataa rasmi

Kwanza hauna vigezo wa kuitwa msamaha, sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi

Kingine sisi siyo vijana wako tafadhari sana Samia tumia akili japo kidogo

Tukutane tarehe D9

SAYUNI BOY
Na afe kabisa
20251110_183926.jpg
 
Alafu yeye mwenyewe ndo anaunda Tume ya kuchunguza chanzo cha mauaji yeye mwenye ndo anaunda tume ya maridhiano huyu Mama anazani watanzania ni wa karne 10 huko nyuma chanzo cha mauaji ni yeye mwenyewe alafu heti anaunda Tume ukiuliza Tume ya kuchunguza mauaji ya Mzee Ally Kibao imefika wapi majibu yake yako wapi? hawezi kukupa jibu Kifo ni kifo tu dharau zake zitamponza
 
Vijana wa mama.

Bichwa Komwe natamba chini ya MWAMVULI WA MAMA.
 

Attachments

  • Screenshot_20251114_125839_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20251114_125839_WhatsApp.jpg
    73.8 KB · Views: 24
sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi
....
Nakubari kwa hio sasa itabidi apige magoti chini huku anaongea sio akiwa amesimama tena. Umekataliwa. Now, get on yo knees, get on yo knees and pray.

Oya D9 ile pale sio mbali
 
Kifo ni kifo tu dharau zake zitamponza
Ubabe ubabe
Kuna muda km ana unguruma hivi
Mpaka najiuliza hua anapatwa na nini
Dharau sasa aisee punguza
Kiburi kimemjaa kwenye Facial expressions
Jeuri ndani ya mboni za macho yake
Majivuno yasiyo na sababu
Majisifu ya kusema Mimi ndio ......
Najiuliza hivi na Mumewe hua anamwambiaga Mimi ndio ..... humu ndani ya nyumba
Like Mimi ndio Mungu ....
Kujiona yeye ndio yeye, she thinks like nobody else in this world can do better than her
Yeye ndio km Mungu fulani hivi hajawahi kuumba ila ameweza kuua

Oya D9 ile pale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom