GE2025 Samia: Msipopiga kura ahadi tunazotoa zitakuwa bure

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wito wangu kwa viongozi wa maeneo mbalimbali, na hasa viongozi wa matawi na mashina, kuhakikisha kila mtu kwenye eneo lake ametoka kwenda kupiga kura. Tukifanya hivyo, tutasema ahadi tunazozitoa zote zitafanya kazi. Tukilala majumbani, wengine wakatoa watu wao kwenda kupiga kura, ahadi zetu zitakuwa za bure kabisa." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu Hassan wilayani Bahi.
 
Hizi ahadi ni kwanini ulishindwa kuzitekeleza au hata kuzisnza katika miaka yako minne ya uongozi?
 
Kumaanisha atalipiza machungu ya kukataliwa… Anatu-blackmail au?
 
Wengine watakaopeleka watu wao kupiga kura ni akina nani? UDDTP ,TPPD au DTTTP
 
Ohoo...
Tena!?
Hofu Ya Nini!??
 
Wapige kura kuchagua akina nani hao wanaoshindana??
 
Kumbe kuna namna washaelewa watanzania kutopiga kura 🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…