Rais Samia amewashangaa watendaji wa Serikali kutoa leseni za biashara ndogo ndogo Kwa wageni akitokea mfano Mchina muuza Mitumba Kariakoo.
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya uwekezaji,nani aliwapa vibali vya kuingia Nchini Kwa Ajili ya biashara ndogo.
Wamefika mbali saizi wamejigeuza Wachimbaji Wadogo wa Madini.Hii tabia ikomeshwe mara Moja kwa Wizara zinazohusika.
Your browser is not able to display this video.
Rais Samia Suluhu amemwagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuangalia suala la raia wa kigeni kupewa leseni za kufanya biashara zinazofaa kufanywa na wenyeji.
Viongozi wa Serikali sijui hawaelewi,hivi Kila kitu tutasybiria Rais aseme ndio sheria zitekelezwe? Kwa nini tunakuwa Nchi ya watu wasioelewa wajibu wao?
Hii nchi hata jambo la kutekelezwa na Mtendaji wa Kata litasubiri maamuzi ya Rais sasa unajiuliza hawa watendaji wapo kwenye hizo nafasi kwa kazi gani?
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya uwekezaji,nani aliwapa vibali vya kuingia Nchini Kwa Ajili ya biashara ndogo.
Wamefika mbali saizi wamejigeuza Wachimbaji Wadogo wa Madini.Hii tabia ikomeshwe mara Moja kwa Wizara zinazohusika.
Viongozi wa Serikali sijui hawaelewi,hivi Kila kitu tutasybiria Rais aseme ndio sheria zitekelezwe? Kwa nini tunakuwa Nchi ya watu wasioelewa wajibu wao?
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya uwekezaji,nani aliwapa vibali vya kuingia Nchini Kwa Ajili ya biashara ndogo.
Wamefika mbali saizi wamejigeuza Wachimbaji Wadogo wa Madini.Hii tabia ikomeshwe mara Moja kwa Wizara zinazohusika.
Viongozi wa Serikali sijui hawaelewi,hivi Kila kitu tutasybiria Rais aseme ndio sheria zitekelezwe? Kwa nini tunakuwa Nchi ya watu wasioelewa wajibu wao?
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya uwekezaji,nani aliwapa vibali vya kuingia Nchini Kwa Ajili ya biashara ndogo.
Wamefika mbali saizi wamejigeuza Wachimbaji Wadogo wa Madini.Hii tabia ikomeshwe mara Moja kwa Wizara zinazohusika.
Viongozi wa Serikali sijui hawaelewi,hivi Kila kitu tutasybiria Rais aseme ndio sheria zitekelezwe? Kwa nini tunakuwa Nchi ya watu wasioelewa wajibu wao?
Tujiulize anayewaruhusu ni nani?.. Serikali imeweka mazingira rafiki sana Kwa wageni ndiyo maana wanadiriki kufanya hivyo. Hayupo wa kuzuia kama Serikali haitaweka nia ya dhati kusaidia wenyeji.
Tupo nyuma sana, tunaishi kama maisha ya digidigi na Simba katika eneo moja.
Hii nchi hata jambo la kutekelezwa na Mtendaji wa Kata litasubiri maamuzi ya Rais sasa unajiuliza hawa watendaji wapo kwenye hizo nafasi kwa kazi gani?
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya uwekezaji,nani aliwapa vibali vya kuingia Nchini Kwa Ajili ya biashara ndogo.
Wamefika mbali saizi wamejigeuza Wachimbaji Wadogo wa Madini.Hii tabia ikomeshwe mara Moja kwa Wizara zinazohusika.
Viongozi wa Serikali sijui hawaelewi,hivi Kila kitu tutasybiria Rais aseme ndio sheria zitekelezwe? Kwa nini tunakuwa Nchi ya watu wasioelewa wajibu wao?
Hii nchi hata jambo la kutekelezwa na Mtendaji wa Kata litasubiri maamuzi ya Rais sasa unajiuliza hawa watendaji wapo kwenye hizo nafasi kwa kazi gani?
Sijui ni mifumo yetu au incompetence ya watendaji au nini yaani inakera..Si ulikuwa unaona yaani wafanyabiashara eti wanagaoma wanamtaka Rais wakati wahusika wa biashara wapo.
Stendi,vyoo,sijui madarasa, nk Bado Rais ataulizwa,Huwa nakasirika sana .

Yeye Rais ndiyo ametengeneza mfumo wa hovyo wa kuona kila kinachofanyika kinafanywa na Rais, taifa star ikishinda mechi atasifiwa Rais, choo cha shule atasifiwa Rais so watu wanaona kumbe mambo yote ni Rais hawatendaji wengine hawana majawabu.