Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,311
- 1,220
Ni huzuni🙄
Kuelekea uchaguzi mkuu October 2025 na kampeni zinazoendelea,unaona Samia na CCM wanaenda kushindana na nani kwenye sanduku la kura?... .
Binafsi ni swali linalotia huzuni hasa ukiwa mdau wa demokrasia ya kweli! Lakni kupitia swali hili napata maswali madogo madogo ambayo nimekosa majawabu sahihi;
1.Ccm na Samia wanahofia wapinzani wa kweli mfano CHADEMA kuwa wanaweza kuchukua Dola?(Kwanini wasikubali reform,kumuachilia huru kiongozi Mkuu wa CDM jambo ambalo linawezekana kabsa!)
2.Kwanini Luhaga Mpina anazungushwa kana kwamba ni tishio? Ama kweli ni tishio? Kwa kipengele kipi Luhaga awe tishio hadi kuharibu taswira ya Demokrasia Nchini?
3.Umoja wa mataifa na walezi wa Demokrasia hawayaoni haya?? Nini msimamo wao?? Wanapendezwa na Demokrasia ya namna hii??
4.Viongozi wastaafu,viongozi wa Dini,Na watu wa usalama ,je hii ni sawa? Kwanini hatuoni hatua zaidi ya kutishia raia?
Inasikitisha kwakweli, naona tunadidimia , sijui nani atatutoa huku!! Yani Leo hii Ikulu imekuwa sehemu ya watu kupiga picha kwa mapozi wanayotaka kweli?? Sawa tu,Mungu yupo..
NIWAOMBE ndugu zangu mlioko Tanzania kuzidi kuiombea Nchi yetu Amani,na niombe wahusika kutafakari haya kwa kina,haina afya na haijakaa sawa kwa Taifa LETU.Yani unatumia B90+ kushindana na Ngombale Mwilu🤣😂
NB:SINA CHUKI YOYOTE NA CCM WALA SSH,IKUMBUKWE MIMI NI UVCCM TOKA 2020!!,KWA HIYO UNAPOTAFAKARI HAYA ZINGATIA HILO🙏
WAKO
MAGEMAJR17 💪