Inakuuma siyo? Wenzako wamebarikiwa huna la kufanya kubali tu matokeo yaishe we tafuta njia yako ya kutanuaWakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa na kingine chama cha kikwete
Wamajiwekea busget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
Una kamasi nyingi kichwani,hela ya kampeni ya CCM siyo ya serikali,kama ilivyo hela ya chadema si ya serikali,huwezi laumu hela ya chadema kutowalipa wakandarasiWakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
Mtu aliye zoea kugawa tako kwa wanaume utamjua kwa michango yakeInakuuma siyo? Wenzako wamebarikiwa huna la kufanya kubali tu matokeo yaishe we tafuta njia yako ya kutanua
Wewe ndiyo una kamasi kwenye ruzuku ya CCM inatoka wapi? yaani ufanye uchaguzi fake kama 2020 upate pesa kutokana na chaguzi za kijinga halafu useme pesa haitoki serikalini kwa miradi gani walioyo nayo!!! Tatizo la vijana wa siku hizi bongo lala. Mjiongeze kwenye fikra!!!Una kamasi nyingi kichwani,hela ya kampeni ya CCM siyo ya serikali,kama ilivyo hela ya chadema si ya serikali,huwezi laumu hela ya chadema kutowalipa wakandarasi
Kuna wajinga wengi sana kwenye kundi lenu
Chadema wanachukua ruzuku toka uchaguzi wa 2020Wewe ndiyo una kamasi kwenye ruzuku ya CCM inatoka wapi? yaani ufanye uchaguzi fake kama 2020 upate pesa kutokana na chaguzi za kijinga halafu useme pesa haitoki serikalini kwa miradi gani walioyo nayo!!! Tatizo la vijana wa siku hizi bongo lala. Mjiongeze kwenye fikra!!!
makandarasi wanahusiana nini na CCM gentleman?Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
kampeni za nini, na wakati mwaka huu hakuna uchaguzi. Kuna watu wanadhani kutakuwa na uchaguzi mwaka huu. Msijidanganye. HAUPO!Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
jikite kwenye hivyo vipaumbele vyako kwa uhuru, kwani kuna aliekuzuia gentleman?Kosa litakalo itafuna hii nchi kwa miaka mingi, ni hili la kuipa kipaumbele siasa badala ya elimu, teknolojia, tafiti, afya, uzalendo, matumizi sahihi ya raslimali na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.
Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
Inakuuma siyo? Wenzako wamebarikiwa huna la kufanya kubali tu matokeo yaishe we tafuta njia yako ya kutanua
Una kamasi nyingi kichwani,hela ya kampeni ya CCM siyo ya serikali,kama ilivyo hela ya chadema si ya serikali,huwezi laumu hela ya chadema kutowalipa wakandarasi
Kuna wajinga wengi sana kwenye kundi lenu
Kwa mtazamo huu maana yake hata mshahara wa mtumishi wa umma ni pesa ya serikali na mtu anapaswa kusimamiwa na umma namna ya kuutumiaWewe hujua serikali huomba wafadhili hela ili kuwa na uchaguzi ? Wanapewa hela kutoka makampeni ya kusaidia nchi maskini kuwa na demokrasia halisi. Wewe kwa akili yako timamu unaona hiyo ni njia nzuri ya kutumia pesa wakati kuna watoto wa kitanzania hata kusoma darasani wamekaa chini kwenye sakafu, wakati watu wanakufa na magonjwa yanayotibika kwasababu ya umaskini ?
Na kinachosikitisha zaidi serikali haijafanya vya kutosha kupinga rushwa kwenye uchaguzi kwa hiyo hizo hela kuna uwezekano hazisaidi demokrasia zipasavyo -- kuna ambao wanazitumia kudidimiza demokrasia na uhuru nchini.
PS. Serikali inatoa ruzuku kwa vyama ya siasa (CCM na upinzani) na ukitoa hela za wafadhili, kodi za wananchi zimo humo pia.
Kwa mtazamo huu maana yake hata mshahara wa mtumishi wa umma ni pesa ya serikali na mtu anapaswa kusimamiwa na umma namna ya kuutumia