Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .📌🔨❗Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.
Kibaya zaidi ugojwa huo hakuishia kwa Samia peke yake umesambaa kwa wateule wake wote. Hata wanachama wote wa ccm umewashambulia vibaya sana. Kutokana na ugojwa huo Wa akili ambao nitauita ukichaa wa madaraka.
Ukichaa wa madaraka ni mbaya kuliko ukichaa wa kuokota makopo. Kwasababu ukichaa wa madaraka hushambulia watu wengi kwa kipindi chote waadhirika wa ugojwa huo wanapo kuwa madarakani. Na baada ya hao vichaa wamadaraka wakitako madarakani huwa wanaacha familia zao kwenye matatizo maku bwa sana. Kwa mfano Hitler wa ugermani aliacha familia yake na wanachama wa chama chake cha The Nazi party wakiwindwa kama swala. Mfano mwingine ni Mbutu seseceko wa Zaire kwa sasa DRC watoto wake wanaishi kwa kujificha.
Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .
Ila Magufuli ilikuwa sawa kumpa NchiView attachment 3387638
Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.
View attachment 3387639
Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.
CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.
Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.
Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.
Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.
Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,
Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).
Tafadhali sina mood ya ku-entertain mataahira kwa sasa.Ila Magufuli ilikuwa sawa kumpa Nchi
Hicho kiherehere na kisebusebu kilicho kuamsha na kuingia Jf bila kupiga mswaki na kutoa matongoto go umekutokea vipi?Tafadhali sina mood ya ku-entertain mataahira kwa sasa.
Kwa akili zako hali iachwe ilivyo kwa kuwa tu unamchukia Lissu. Mtoa hoja anazungumzia kiburi cha wenye mamlaka kupora njia za kupata viongozi. Wewe unaona bora hivi kisa candidate wa upinzani mkubws ni Lissu ?!.View attachment 3387638
Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.
View attachment 3387639
Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.
CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.
Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.
Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.
Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.
Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,
Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).
Sasa kuna mambo yule dogo wa ‘wachokonozi’ anadadavua ili kuona akili yake lazima uwe umesoma vitabu vya siasa.
Niamini yule dogo anajua siasa kuliko 95% ya wachangiaji wa ili jukwaa.
Wengine uwa mnaandika ujinga mtupu (ndio ukweli), siasa hamjui.
Weka metric measures ya raisi yeyote ambayo unaweza ifananisha Magufuli.Hicho kiherehere na kisebusebu kilicho kuamsha na kuingia Jf bila kupiga mswaki na kutoa matongoto go umekutokea vipi?
Sasa pata mood
Haya yote yanaendekezwa na waTanganyika kutokujali mustakbali wao. Wanajua mtasema na kulala hakuna reaction yoyote dhidi ya matendo yao.Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.
Kibaya zaidi ugojwa huo hakuishia kwa Samia peke yake umesambaa kwa wateule wake wote. Hata wanachama wote wa ccm umewashambulia vibaya sana. Kutokana na ugojwa huo Wa akili ambao nitauita ukichaa wa madaraka.
Ukichaa wa madaraka ni mbaya kuliko ukichaa wa kuokota makopo. Kwasababu ukichaa wa madaraka hushambulia watu wengi kwa kipindi chote waadhirika wa ugojwa huo wanapo kuwa madarakani. Na baada ya hao vichaa wamadaraka wakitako madarakani huwa wanaacha familia zao kwenye matatizo maku bwa sana. Kwa mfano Hitler wa ugermani aliacha familia yake na wanachama wa chama chake cha The Nazi party wakiwindwa kama swala. Mfano mwingine ni Mbutu seseceko wa Zaire kwa sasa DRC watoto wake wanaishi kwa kujificha.
Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .
Umepata mood Sasa!!Weka metric measures ya raisi yeyote ambayo unaweza ifananisha Magufuli.
Je siasa ni Uongo Uongo unaokubalika ??!View attachment 3387638
Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.
View attachment 3387639
Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.
CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.
Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.
Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.
Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.
Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,
Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).
Sasa kuna mambo yule dogo wa ‘wachokonozi’ anadadavua ili kuona akili yake lazima uwe umesoma vitabu vya siasa.
Niamini yule dogo anajua siasa kuliko 95% ya wachangiaji wa ili jukwaa.
Wengine uwa mnaandika ujinga mtupu (ndio ukweli), siasa hamjui.
Lissu sio solution ni problem, afadhali haya majizi ya ndani. Kuliko mtu ambae yupo tayari kushirikiana na majizi ya nje.Kwa akili zako hali iachwe ilivyo kwa kuwa tu unamchukia Lissu. Mtoa hoja anazungumzia kiburi cha wenye mamlaka kupora njia za kupata viongozi. Wewe unaona bora hivi kisa candidate wa upinzani mkubws ni Lissu ?!.
Haya yote yanafanyika kwa sababu ya nature ya waTanganyika ya kutoku react dhidi ya uonvu.
Huu sasa mtihani.Je siasa ni Uongo Uongo unaokubalika ??!
Au Siasa ni Uongo Uongo unaofanana na Ukweli ??! 😳🙄 !
😅😀🤣 !
Ni MWENDAWAZIMU pekee anaweza kumchukia Lissu. Lissu ni Mtanzania kama walivyo Watanzania wengine. Lissu anapigania haki katika Taifa.Kwa akili zako hali iachwe ilivyo kwa kuwa tu unamchukia Lissu. Mtoa hoja anazungumzia kiburi cha wenye mamlaka kupora njia za kupata viongozi. Wewe unaona bora hivi kisa candidate wa upinzani mkubws ni Lissu ?!.
Haya yote yanafanyika kwa sababu ya nature ya waTanganyika ya kutoku react dhidi ya uonvu.
Tahila wewe warabu walipewa bandali na Lissu gorogoro iliuzwa kwa warabu na Lissu. Kia iliuzwa kwa wachaga au warabu ? Au siku hizi warabu ndio wazawa na wabantu kama Lissu ni wageni?Lissu sio solution ni problem, afadhali haya majizi ya ndani. Kuliko mtu ambae yupo tayari kushirikiana na majizi ya nje.
Lissu hafai hata chembe kwa Tanzania