The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Neno la Mungu (Biblia) linaonya kusema;
Rais Samia na wenzako serikalini na ndani ya chama chako - CCM msione aibu, kubalini kuwa mmekosea, hamtapungukiwa wala kupoteza chochote...
Mungu Yehova anakushangaa sana Rais Samia kwa sbb huuoni upendo wake anaouonesha kwa uwazi sana kwako. Na kwa hakika anaumia sana kukuona kuwa kwa hiari yako mwenyewe umechagua njia ya mauti badala ya kuchagua ile ya uzima wako...!
Hebu jaribu kufikiri hili. Kwamba, ametuma watu wengi kukuonya uiache hiyo njia unayoiendea, lakini kwa kiburi tu wewe na serikali na chama chako CCM mmeshupaza shingo zenu...
Mnafanya kila njia kuukwepa ukweli na kuchagua uongo na unafiki. Angalieni, mtavunjika (mtakufa) na mtapotea kabisa...!
Nani kawaambia kuwa nchi na taifa letu liko vitani kiasi cha kuanza ku - mobilize askari wote wakiwemo waliokwisha kustaafu. Mnafanya hivyo ili hawa askari wakapigane na nani? Na wananchi wanaodai haki zao? Really...?
This is very absurd and ridiculous madam President...!!!
Mbona tatizo (ambalo actually mmelitengeneza wenyewe kwa ujinga na tamaa zenu) na linajitaji hekima ya kawaida sana kulitatua..?
Tatizo lililopo na linalosababisha yote haya ni UCHAGUZI TU. Kwamba, mmewanyang'anya watu haki zao za kuchagua viongozi kupitia sanduku la kura. Hili ndilo tatizo. Tukitatua hili, MTAKUWA SALAMA na SISI SOTE TUTAKUWA SALAMA...!!
Please, acheni kiburi. Acheni tamaa za kishetani. Drop down your egos na fanyeni yafuatayo na mtabaki salama...
1. CCM na serikali unayoingoza wewe, tokeni hadharani na mkiri kuwa mmekosea. Huku ni ndiko kunakoitwa kuomba toba na Mungu ndicho anachotaka mfanye ili kuokoa na kujiokoa nafsi nyie na nafsi zenu..
2. Chukua hatua ya haraka za kikatiba, itisha Bunge ili lipitishe azimio la kuahirisha uchaguzi wa mwaka huu 2025 kwa kipindi cha mwaka mmoja hadi Oktoba 2026...
3. Katika kipindi hiki, lilete taifa pamoja. Itisha mkutano mkuu wa kitaifa ili kufanya maridhiano ya wazi na ya pamoja...
4. Ondoa na futa mara moja kesi zote za kisiasa ulizowafungulia wapinzani wako kwa ujinga na tamaa zako tu....
5. Mwachie Tundu Lissu mara moja. Acha kuifanyia uhuni CHADEMA mara moja. Acha ifanye siasa zake kama CCM inavyofanya siasa. Acha uonevu wa kutumia mamlaka na madaraka vibaya, UTAKUFA..!!
6. Acha tabia yako mbaya ya kupigana na kuvuruga dini ya Kikristo. Hapa ulifanya kosa kubwa na baya. Fungulia makanisa yote uliyoyafungia wasifanye ibada kwa sbb za kijinga na za kisiasa tu...!
7. Futa mara moja vikundi vya utekaji na mauaji ambavyo wewe na wanasiasa wenzako mmeviunda kuteka, kutesa na kuua wapinzani wenu kisiasa. Vikundi hivi vinahusisha baadhi ya TISS, Polisi, Askari magereza na baadhi ya askari wa JWTZ. Mfano wa askari polisi wanaojionesha kwa uwazi kabisa ni Afande Jumanne Muliro, Mafwele na wengine wengi...
Ukifanya haya, utakuwa umeiponya nchi na utaokoka toka ktk hukumu ya Mungu..
Lakini, kama unachagua kufa kabla ya wakati wako, endelea mbele na upuuzi huu. Shupaza shingo yako tu na kwa HAKIKA utavunjika/UTAFUKA...!!
Mithali 29:1 SUV
"...Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa..."