Jiwe angekuwepo Lissu asingekuwa hapa na huo walaka usingetoka.Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake.
Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye kufuta "utangamano kupitia 4R" aliyokuwa akiuhubiri Samia.
Watu sasa wanasema "Kiko wap!? Alipoingia alijinasibu kuendesha nchi kwa maelewanonna utangamano kupitia 4R, mbona anakamata wanasiasa kama Magufuli?
Samia ameipala makaa kwa kumkamata Lisu, na atajuta kufanya hivyo.
Zilitoka nyaraka kibao tu. Acha unafikiJiwe angekuwepo Lissu asingekuwa hapa na huo walaka usingetoka.
Za kusifia?Zilitoka nyaraka kibao tu. Acha unafiki
Hata dini nyingine tunaomba wafanye hivyoπΏKanisa Katoliki tunaomba kipindi hiki cha hii awamu sijui ya 5 ama ya 6 kwenye maombi ya KUWAOMBEA VIONGOZI WOTE WA SERIKALI isitishwe na badala yake iwe KUWAOMBEA VIONGOZI WA SERIKALI WALE WANAOITENDEA WEMA NCHI HII NA WALE WASIOITENDEA WEMA GHADHABU YA MUNGU IWASHUKIE.
Mimi I ifika kwenye hayo maombo naomba kama nilivyotoa ushauri kwa Kanisa Katoliki.
GOD BLESS TANGANYIKA
Kiukweli wale wagombea kila kona wananchi hawawataki. Watatumia nguvu nyingi sanaSema tu wagombea wetu wawili wa chama changu cha ccm mwaka huu hawauziki. Na huu ni ukweli mchungu. Na kama Lissu angegombea ndiyo hali ingekuwa mbaya zaidi.
Yaani pamoja na kuwaondoa Chadema kwa hila, bado yatahitajika malori ya kutosha ya kukodi, wasanii wa kutosha wa bongo muvi na bongo fleva! rushwa za kutosha za vitenge, kofia, tshirts, kanga, vilemba, pesa, chakula, nk. ili tu kuvutia wapiga kura na pia halaiki kuhudhuria mikutano ya hadhara ya kampeni.
4r's hadaa ya rubuni kwa m.kiti mbuyu uliong'olewa kama mchicha bustanini.M.kiti alitumikia vyama viwili ila leo na m.kiti mwenza wamekalia kuti kavu.Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake.
Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye kufuta "utangamano kupitia 4R" aliyokuwa akiuhubiri Samia.
Watu sasa wanasema "Kiko wap!? Alipoingia alijinasibu kuendesha nchi kwa maelewanonna utangamano kupitia 4R, mbona anakamata wanasiasa kama Magufuli?
Samia ameipala makaa kwa kumkamata Lisu, na atajuta kufanya hivyo.
π π4r's hadaa ya rubuni kwa m.kiti mbuyu uliong'olewa kama mchicha bustanini.M.kiti alitumikia vyama viwili ila leo na m.kiti mwenza wamekalia kuti kavu.
Magufuli alifanya makosa mengi kwenye demomrasia na haki za binadamu LAKINI hakuwa mnafiki. Kama anakuchukia atakuambia wazi.Kweli kabisa mnafiki mkubwa huyo chura alitupa lawama kwa jiwe Sasa jiko wapi anacho Fanya 4R za kinafiki zilikuwa mdomoni moyoni make hakuna 4R, unafiki mtupu
Umesahau pakiti za chumvi,madela,visungura na boda za hongo ongeza vimikopo uchwara.Sema tu wagombea wetu wawili wa chama changu cha ccm mwaka huu hawauziki. Na huu ni ukweli mchungu. Na kama Lissu angegombea ndiyo hali ingekuwa mbaya zaidi.
Yaani pamoja na kuwaondoa Chadema kwa hila, bado yatahitajika malori ya kutosha ya kukodi, wasanii wa kutosha wa bongo muvi na bongo fleva! rushwa za kutosha za vitenge, kofia, tshirts, kanga, vilemba, pesa, chakula, nk. ili tu kuvutia wapiga kura na pia halaiki kuhudhuria mikutano ya hadhara ya kampeni.
π‘Nyumbu kwa kujifarijiii, hakika hamjambo kwenye hilo. Hata hivyo, haitarajiwi utoke waraka wenye maudhui tofauti kutoka kwa hao jamaa zangu kwenda kwa watu kama Samia