ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Anajificha wapi juzi tuu si katimba hapo karikooSasa kwanini anajificha huko tunguu?
Punguza kudandia yasiyokuhusu, utadandia bamia upate mimberAnajificha wapi juzi tuu si katimba hapo karikoo
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania.
Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.
Jakaya alitoa Ajira lakini Mama Samia ametisha sana aisee.
Hapa ndipo Ile Kauli ya Nabii haikubaliki nyumbani inabamba.
View: https://www.threads.com/@kajenjere_media/post/DU2lnjmjHpD?xmt=AQF0tPTE_eb0qsmuIoJPoLsTjbr5715pvG3cnoP8bEAw7skMZXAq8sCKZPNkpsnvcGYannI&slof=1
Hadi 2030 Samia atawavusha hapo,ameshaajiri zaidi ya Watumishi 60,000 Kwa miaka 5Ng'ombe, pamoja na WA Tanzania kuwa 62m ,Bado watumishi wa serikali ata laki 7 hawafiki,,,
Hivi nyie mmezaliwa mwaka gani?Hadi 2030 Samia atawavusha hapo,ameshaajiri zaidi ya Watumishi 60,000 Kwa miaka 5
Mwaka juziHivi nyie mmezaliwa mwaka gani?
Linapokuja Suala la Samia Nyumbu ndo hamhusikiPunguza kudandia yasiyokuhusu, utadandia bamia upate mimber
Baadhi hao Wana mtindio wa ubongo na matatizo ya kisaikolojiaUtashangaa Ma CHADEMA yanapinga wakati huohuo yamepata ajira wakati wa Mama
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania.
Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500 | JamiiForums Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500
Jakaya alitoa Ajira lakini Mama Samia ametisha sana aisee.
Hapa ndipo Ile Kauli ya Nabii haikubaliki nyumbani inabamba.
View: https://www.threads.com/@kajenjere_media/post/DU2lnjmjHpD?xmt=AQF0tPTE_eb0qsmuIoJPoLsTjbr5715pvG3cnoP8bEAw7skMZXAq8sCKZPNkpsnvcGYannI&slof=1
Ungeanza na ya bi mkubwa wako kwanzaSamuya hata angenipa maku namchukia balaa!!!.
Hutaki au una chuki zako binafsi? Hajishia kuwaajiri tuu Hadi kuwalipa mafao manono 👇👇Faki zati bichi.