Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania


Huwa tunawakumbuka wakishastaafu
 

Cummer maccor
 

Hii ni kweli, pia nashauri sana viongozi wetu tuangalie mema yao zaidi.
Tuwapende na kuwaombea
 

Ukitaka kuleta takwimu za ajira fanya ulinganisho kati ya ajira zilizofanyika serikalini na kutafuta uwiano uliopo na jumla ya idadi ya watu waliopo nchini katika wakatii husika.

Takwimu zinatupa picha,

1961 - 1980 watu 10 - 18 million
1985 - 1995 watu 25 million
1996 - 2005 watu 35 million
2006 - 2015 watu 45 million
2016 - 2021 watu 60 million
2026 watu 71 million

Fanya hesabu rahisi, tafuta uwiano uluopo kati ya ajira zilizopo dhidi ya jumla ya watu waliopo nchini, kisha uendelee na sifa na kuabidu
 
Tafuta leta majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…