ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Na hakika Chadomo walikuwa hawajui hili ila kama kawaida Yao wataanza kutukana 😂😂
Ruvuma kajenga vitanoKabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Mikoa mingine ilitengwa na kuonekana eti haifai kuwa na huo Kikuu.Hiyi dhana ya kipuuzi ilikataliwa na mama WA maono ambapo alianzisha Mpango wa kujenga Vyuo Vikuu na matawi yake Mikoa yote Tanzania.
Kutokana na maono hayo Sasa ndipo Mikoa iliyobezwa ikapata Vyuo Vikuu mfano
Rukwa-MUST & Teachers College
2.Simiyu-TIA
3.Manyara-TIA & ICT Centre of Excellence
4.Kigoma-Muhimbili University Campus
-TIA
-Chuo Cha Hali ya Hewa
5.Tabora
-Chuo Cha Reli
-Chuo Cha Ardhi
6.Katavi-Sokoine University of Agriculture Campus
7.Lindi
-Udsm Campus
-Chuo Cha Mafuta na Gas
8.Kagera
-Udsm University Campus
9.Tanga
-Mzumbe University
10.Njombe
-Udom Campus
11.Dodoma
-Dodoma Technical College
-Chuo Cha Madini
12.Geita
-Chuo Cha Madini
My Take
Kiufupi hakuna Mkoa hajajenga Chuo Kikuu.
Huyu ndio Samia Mama wa Uchumi wa Tanzania.
View: https://www.instagram.com/p/DU6ZVkXDm2-/?img_index=1&igsh=MWMyNHBqbHdtc2NyOA==
RukwaNaona unakazana kumpiku luka! I support you!
Lakini naona sana ukikijeli CHADEMA unapata nafuu kubwa eeh!
Rafiki wahenga walisema
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA
Unajua tafsiri yake?
Labda Singida ya huyo kibaraka wako ila Singida ya Samia pale Kuna Chuo Cha Utumishi wa Umma,TIA na Chuo Cha AfyaSingida kuna vyuo vikuu kila kata. Weka hiyo
Newala Kuna vyuo 9Singida kuna vyuo vikuu kila kata. Weka hiyo
Ujinga huu sasaElimu ni gharama. Vyuo vikiwa vingi kama uyoga basi elimu husuka thamani na ubora. Inatakiwa mtu asafiri mikoa kadhaa kukifuata chuo
Masasi vyuo 30Labda Singida ya huyo kibaraka wako ila Singida ya Samia pale Kuna Chuo Cha Utumishi wa Umma,TIA na Chuo Cha Afya
Hivyo kajenga Samia wewe kenge? Hivyo vyuo vipo tangu anapata Div 4Labda Singida ya huyo kibaraka wako ila Singida ya Samia pale Kuna Chuo Cha Utumishi wa Umma,TIA na Chuo Cha Afya
Kijijini kwetu vyuo 60Hivyo kajenga Samia wewe kenge?
Soon mtaletewa chuo cha mandaziKijijini kwetu vyuo 60
Halafu mtama vipo vyuo 15 kongole kwa samiaSoon mtaletewa chuo cha mandazi
Hivyo vyote vimepanuliwa na Samia kuwa vyenye hadhi tofauti na ilivyokuwa awali.Hivyo kajenga Samia wewe kenge? Hivyo vyuo vipo tangu anapata Div 4
Vimepanuliwa au kuanzishwa? Hivi vya huku kwetu havikupanuliwa vilijipanua vyenyeweHivyo vyote vimepanuliwa na Samia kuwa vyenye hadhi tofauti na ilivyokuwa awali.
Saizi vina majengo ya ghorofa.