Baada ya kua rafiki na championi wa mazingira na nishati safi ya kupikia Tanzania na africa kwa ujumla,Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Mikoa mingine ilitengwa na kuonekana eti haifai kuwa na huo Kikuu.Hiyi dhana ya kipuuzi ilikataliwa na mama WA maono ambapo alianzisha Mpango wa kujenga Vyuo Vikuu na matawi yake Mikoa yote Tanzania.
Kutokana na maono hayo Sasa ndipo Mikoa iliyobezwa ikapata Vyuo Vikuu mfano
Rukwa-MUST & Teachers College
2.Simiyu-TIA
3.Manyara-TIA & ICT Centre of Excellence
4.Kigoma-Muhimbili University Campus
-TIA
-Chuo Cha Hali ya Hewa
5.Tabora
-Chuo Cha Reli
-Chuo Cha Ardhi
6.Katavi-Sokoine University of Agriculture Campus
7.Lindi
-Udsm Campus
-Chuo Cha Mafuta na Gas
8.Kagera
-Udsm University Campus
9.Tanga
-Mzumbe University
10.Njombe
-Udom Campus
11.Dodoma
-Dodoma Technical College
-Chuo Cha Madini
12.Geita
-Chuo Cha Madini
My Take
Kiufupi hakuna Mkoa hajajenga Chuo Kikuu.
Huyu ndio Samia Mama wa Uchumi wa Tanzania.
View: https://www.instagram.com/p/DU6ZVkXDm2-/?img_index=1&igsh=MWMyNHBqbHdtc2NyOA==
Vyepi hivyoo?? Mbona sina habari.Ruvuma kajenga vitano
Sio afrika tu na ahera kiujumlaBaada ya kua rafiki na championi wa mazingira na nishati safi ya kupikia Tanzania na africa kwa ujumla,
Nadhani ni wakati muafaka tena kwa Dr.SAMIA SULUHU HASSAN kua championi wa elimu Tanzania na Africa katika ujumla wake,
maana jitihada zake katika kuongeza na kupanua fursa za elimu ni za kiwango cha juu mno na zinaonekana kwa kila mtu.
God Bless Dr.Samia Suluhu Hassan
sina maoni zaidiSio afrika tu na ahera kiujumla
Pale Kizimkazi kuna Chuo kinajengwa kikikamilika kitatoa wahitimu wa degree ya ukahaba, Uchawa na Kuzurura Dubai..Kijijini kwetu vyuo 60
Kwani lazima wewe upewe habari?Vyepi hivyoo?? Mbona sina habari.
Huyu mama huwa mnajua kumpamba kwa sifa za uongo na alivyo zuzu sasa huwa anafurahia tu hajui watu mko kazini ilimradi mkono uende kinywani.Na hakika Chadomo walikuwa hawajui hili ila kama kawaida Yao wataanza kutukana 😂😂
Uongo uko wapi tueleze na sisi wapambaji tuujueHuyu mama huwa mnajua kumpamba kwa sifa za uongo na alivyo zuzu sasa huwa anafurahia tu hajui watu mko kazini ilimradi mkono uende kinywani.
Chuo cha madini Dodoma kilikuwepo kabla hata huyo mama hajawa rais, kilianzishwa kwenye utawala wa JK!!.
Kwann unasema chuo cha madini kimeanzishwa kwenye utawala wa samuya wakati ilikuwa ni utawala wa kikwete.Uongo uko wapi tueleze na sisi wapambaji tuujue
Chuo cha madini Dodoma kimeanzishwa wakati wa Nyerere na miaka ya nyuma waliwahi kukodi helikopta kwa ajili ya Survey ilikuwa imeandikwa "Madini Dodoma" na ilikuwa inatuwa mpaka vijijini huko kanda ya Ziwa wakati wanafanya Mineral Survey ..Kwann unasema chuo cha madini kimeanzishwa kwenye utawala wa samuya wakati ilikuwa ni utawala wa kikwete.
Huo ni uongo!
Asante kwa masahihisho, so kusema chuo hicho kimeanzishwa kwenye utawala wa mama ni muendelezo tu wa propaganda tulizozizoea!.Chuo cha madini Dodoma kimeanzishwa wakati wa Nyerere na miaka ya nyuma waliwahi kukodi helikopta kwa ajili ya Survey ilikuwa imeandikwa "Madini Dodoma" na ilikuwa inatuwa mpaka vijijini huko kanda ya Ziwa wakati wanafanya Mineral Survey ..
Open University of TanzaniaWe bwege tu geita kuna chuo kikuu??
Chadomo mtapata tabu sanaAsante kwa masahihisho, so kusema chuo hicho kimeanzishwa kwenye utawala wa mama ni muendelezo tu wa propaganda tulizozizoea!.
Kuelekea uchagizi mkuu mwaka jana tulishuhudia kila aina ya propaganda ilimradi kutaja jina dr samuya...ajabu wakati wa kupiga kura wananchi wengi hawakujitokeza kwenda kumpigia kura licha ya mama kutokuwa na mpinzani wa maana!!.
Umeshawahi kufika?? Ukajionea hicho sio chuo ni centre tuOpen University of Tanzania
Chuo Cha Madini
Wanapambania vifuta jasho vyaoKwani mnagombea tuzo na Lucas?