Dawa ya Morogoro Rd ni kujenga Tram kutokea stendi Mbezi hadi hadi Gerezani.
CCM hawawezi fanya kama hilo, hao jamaa wamelaanika
Dawa ya Morogoro Rd ni kujenga Tram kutokea stendi Mbezi hadi hadi Gerezani.
Unajua maana ya kuchomekewa....!!Sasa aliwezaje kuwa makamu
Yaani useme tunavuna Miiba wakati tulipanda zabibu.! Sio kweli
Ukiona nyoka ndani tambua Kuna sehemu ilikuwa au ipo wazi usilalamike kwamba kaingiaje huyu.! Utapoteza mda
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo itamalizwa karibuni.