D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Oct 23, 2025 #21 imhotep said: Dawa ya Morogoro Rd ni kujenga Tram kutokea stendi Mbezi hadi hadi Gerezani. Click to expand... CCM hawawezi fanya kama hilo, hao jamaa wamelaanika
imhotep said: Dawa ya Morogoro Rd ni kujenga Tram kutokea stendi Mbezi hadi hadi Gerezani. Click to expand... CCM hawawezi fanya kama hilo, hao jamaa wamelaanika
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Oct 23, 2025 #22 Haya ni matusi
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,287 Reaction score 8,707 Oct 24, 2025 #23 ManchoG said: Sasa aliwezaje kuwa makamu Yaani useme tunavuna Miiba wakati tulipanda zabibu.! Sio kweli Ukiona nyoka ndani tambua Kuna sehemu ilikuwa au ipo wazi usilalamike kwamba kaingiaje huyu.! Utapoteza mda Click to expand... Unajua maana ya kuchomekewa....!!
ManchoG said: Sasa aliwezaje kuwa makamu Yaani useme tunavuna Miiba wakati tulipanda zabibu.! Sio kweli Ukiona nyoka ndani tambua Kuna sehemu ilikuwa au ipo wazi usilalamike kwamba kaingiaje huyu.! Utapoteza mda Click to expand... Unajua maana ya kuchomekewa....!!
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,900 Reaction score 18,751 Oct 24, 2025 #24 PAYE said: Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo itamalizwa karibuni. View attachment 3492462 Click to expand... Hivi Maza kaanza kuyaona haya lini ...... Au toka anasoma huko Mzumbe hakuwahi kupanda madaladala ...!!?
PAYE said: Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo itamalizwa karibuni. View attachment 3492462 Click to expand... Hivi Maza kaanza kuyaona haya lini ...... Au toka anasoma huko Mzumbe hakuwahi kupanda madaladala ...!!?