GE2025 Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.

View attachment 3468199

Kuna mwana jf anaitwa zero brain , yani namaanisha kuna mwana jf anaitwa zero brain , kwa kifupi kuna mwana jf ni zero brain , yani kichwani hamna kitu
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.

Hizi sio shida za watanzania.
 
Karne hii ya information at your fingertips, kama kweli unataka watu wapate habari na sio kuwapiga propaganda wewe hakikisha TCRA wanatoa MATOZO yao kwenye Bundles ili kuhakikisha kila mtu anajipakulia habari anazotaka na sio kupakuliwa watawala wanachotaka...

Yaani atawaboreshea usikivu wa TBC ili waendelee kupumbazwa? TBC imepoteza sifa ya kuwa chombo cha habari, badala yake imekuwa chombo cha propaganda cha CCM na watawala, katika kuwapumbaza wananchi, ndiyo maana huwezi kumkuta mwenye akili timamu anatizama au kusikiliza TBC, labda kama wanaonesha match.
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.

Daaaaa! Huyu si mtu wa kumsikiliza watanzania. Nchi kaifisadi kweli kweli
 
Back
Top Bottom