Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
Kuna mwana jf anaitwa zero brain , yani namaanisha kuna mwana jf anaitwa zero brain , kwa kifupi kuna mwana jf ni zero brain , yani kichwani hamna kituView attachment 3468199
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
Hizi sio shida za watanzania.Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
Daaaaa! Huyu si mtu wa kumsikiliza watanzania. Nchi kaifisadi kweli kweliMgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
Duh,Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri