GE2025 Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Heeeeee 😳 😳 😳 πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Safi sana, mama sio mnafiki anaongea yale anayoweza kuyafanya au kuyatimiza
 
Bogus
 
Safi sana, tbc lazima isikilizwe na watanzania wote🀣
 
Kiiiruuuu...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni mim tu ndio sielewi ahadi za mwaka huu au na nyie😹zimekaa kitoto sana mjue
 

Hizi ahadi za huyu Mama ..... Nora aliamua kushindana na Mpwa wake Salumu Mwalimu. Muziki wa Lissu asingeuweza.
 
Eeeh MUNGU nipe busara nisitie neno..umenibariki kende mbili,na nitakuja huko mbinguni na kende zote timilifu...Ameeen
 
Kumamakee Walaii.

Hiyo ni Sera ya Mgombea wa Ngazi ya URAIS.


ukweli ni kwamba, Mjinga pia Huzeeka na Ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…