Samia scholarship extended program(MSc Nuclear Science): 2024/2025

Samia scholarship extended program(MSc Nuclear Science): 2024/2025

saemonity

Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
76
Reaction score
44
Wakuu habari, poleni na majukumu.

Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya taec.go.tz).

Sababu ya kupost ni kwamba tangu siku ya Jumatatu website husika haipatikani hewani na link ya ku apply haipatikani pia.

Kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa nilikua naomba ufafanuzi kwasababu hata namba za simu za TAEC haziwezi kuunganishwa. Shukrani.
 
nikweli website inasumbua haiwezi kufikiwa muda wote sjui kwanini kama kuna aliyefanikiwa kuomba hivi karibun atusaidie amefanyaje
 
Back
Top Bottom