Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!

Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
 
Idea ni nzuri sana ila mkuu wa kaya sidhani km atakubali kuwa sawa na imani tofauti na yeye
 
Kwaio hiz scholarship ni za wat wa 1 tu kwaio sis wenye 2 na wenye 3 hawachukuliw heee jmny ubaguz huuu
 
Siku 2 nyingi sana.. maana hapo watoa scholarship ni serikali na ina access zote na Baraza la mitihani Necta.

Inachofanya ni kuwaambia necta tupeni majina ya watu kazaa waliofanya vizuri kwa mfumo wa ranking.. wanaweza waambia wasichana wawe kazaa na wavulana wawe kazaa na hata dini wanaweza waambia necta waislam wawe kazaa na wakristo kazaa, wa zanzibar wawe kazaaa na wa bara wawe kazaa
 
Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
Idea ni nzuri sana ila mkuu wa kaya sidhani km atakubali kuwa sawa na imani tofauti na yeye

Mbona waisilamu walivyotaka kujua haya miaka ile mliwaita wadini
Sasa Mama ni muisilamu, mavi yanagonga chupi....
 
Labda ana hofu inakuwaje Wa zanzibar wanawapita ufaulu wa Tanzania bara kwenye necta?

Na je scholarship za zanzibar watoto wa bara nao wanapewa?
 
Nenda madrasa
Wewe endelea kula vumbi..
Hujagundua kwamba hata ukienda shule na kielimu chako, kazi hupati siku hizi....
Na kwa jina lako utaitwa tu usindikize usaili.... na gharama juu
 
Shekhe yahaya umefufuka
 
Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!

Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Tunakosea siyo kidogo. Majina walikuwa nayo mfukoni.

Serikali ya SMZ nayo unachangia huu mfuko? Naona Wazanzibar wanameremeta humo.
..au ndiyo chetu ni chao na chao ni chao?
 
Wazanzibar wanaishi kwa formula ya chao ni chao peke yao. Ila Chetu ni cha wote.

Sizani kama scholarships za zanzibar mwanafunzi wa bara anaingia
 
Back
Top Bottom