Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

Nyinyi mandubwi...macho kumulika...mtumie basi hata akili ya kwenda chooni...
Hii ni scholarship ya Tanzania nzima...kwani Zanzibar sio sehemu ya Tanzania...
Je kuna hii scholarship ya Mama specially to Zanzibar only?
Kama ni ya wote, basi tumewapunja sana kina makame haji makame....
 
Wote hamjaelewa
Iko hivi,hayo majina 640 yaliyotolewa ni ya vijana waliopata division 1.3 to 1.5.so wao ndiyo walio qualify kuomba hizo scholarship za Samia.atakaetaka miongoni mwao yuko huru kutuma maombi yake.
 
Si kweli mpaka div 1.6 zipo
 
Hongera kwa walio pata,
Kupata division 1 ya 3 hadi 5,sio mchezo kwa combination za PCM na PCB.haijarishi upo shule nzuri ama laa. Walio pitia hizo wamenielewa
 
Lengo sio kwa masikini bali waliofanya vizuri
Mwenye nacho huongezewa.ukiangalia hayo majina yamejaa watoto kutoka shule zile za kulipia pesa ndefu kiasi kwamba wazazi wao hawana hata shida na hiyo samia scholarship.
Me nadhani ingesound kama wangesema hiyo scholarship ni kwa ajili ya waliosoma shule za Serikali tu.
 
Uko sawa mkuu
 
Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
Tumefika hapa kweli? Ingekuwa raisi mkristo ungetaka hili lifanyike?
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Mbona hio document ipo wazi na maelekezo yalieleweka walisema wanawachukua wenye one kati ya 3 Hadi 5 kama sikosei na nahisi hivyo
 
Back
Top Bottom