Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuriSami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!
Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Idea ni nzuri sana ila mkuu wa kaya sidhani km atakubali kuwa sawa na imani tofauti na yeyeNajua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
Kwaio hiz scholarship ni za wat wa 1 tu kwaio sis wenye 2 na wenye 3 hawachukuliw heee jmny ubaguz huuuSami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!
Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
Idea ni nzuri sana ila mkuu wa kaya sidhani km atakubali kuwa sawa na imani tofauti na yeye
Mbona waisilamu walivyotaka kujua haya miaka ile mliwaita wadini
Sasa Mama ni muisilamu, mavi yanagonga chupi....
Nenda madrasaMbona waisilamu walivyotaka kujua haya miaka ile mliwaita wadini
Sasa Mama ni muisilamu, mavi yanagonga chupi....
Wewe endelea kula vumbi..Nenda madrasa
Shekhe yahaya umefufukaWewe endelea kula vumbi..
Hujagundua kwamba hata ukienda shule na kielimu chako, kazi hupati siku hizi....
Na kwa jina lako utaitwa tu usindikize usaili.... na gharama juu
ukweli mchungu...Shekhe yahaya umefufuka
Tunakosea siyo kidogo. Majina walikuwa nayo mfukoni.Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!
Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Tunakosea siyo kidogo. Majina walikuwa nayo mfukoni.
Serikali ya SMZ nayo unachangia huu mfuko? Naona Wazanzibar wanameremeta humo.
..au ndiyo chetu ni chao na chao ni chao?