Si kweli mpaka div 1.6 zipoWote hamjaelewa
Iko hivi,hayo majina 640 yaliyotolewa ni ya vijana waliopata division 1.3 to 1.5.so wao ndiyo walio qualify kuomba hizo scholarship za Samia.atakaetaka miongoni mwao yuko huru kutuma maombi yake.
Lengo sio kwa masikini bali waliofanya vizuri
Mwenye nacho huongezewa.ukiangalia hayo majina yamejaa watoto kutoka shule zile za kulipia pesa ndefu kiasi kwamba wazazi wao hawana hata shida na hiyo samia scholarship.Lengo sio kwa masikini bali waliofanya vizuri
Iko hiviSi kweli mpaka div 1.6 zipo
Uko sawa mkuuMwenye nacho huongezewa.ukiangalia hayo majina yamejaa watoto kutoka shule zile za kulipia pesa ndefu kiasi kwamba wazazi wao hawana hata shida na hiyo samia scholarship.
Me nadhani ingesound kama wangesema hiyo scholarship ni kwa ajili ya waliosoma shule za Serikali tu.
Tumefika hapa kweli? Ingekuwa raisi mkristo ungetaka hili lifanyike?Najua mwisho tutaomba tujue waislam na waikristo waliopata Scholarship hii maana siamini kama waliopata division I ni hao Tu 640. Isipoangaliwa vizuri atakuja mtu mwingine na kufanya ndio pa kusomeshea watu wa dini yake. Iwekwe idadi ni waislam wangapi wamepata division I na wakachaguliwa wangapi Hali kadhalika waikristo. Ila idea ni nzuri
Hata mie wameniacha ubatiliKwahiyo wamechukua Single digits tu.
Utampaje scholarship mtoto aliyesoma feza kwa ada za milioni 10 kwa mwaka? Kama aliweza kusomeshwa miaka 6 feza girls/boys iweje mzazi ashindwe kumsomesha UDSM kwa ada ya milioni 1.5?
Na mimi sijasema lengo ni kwa maskini.Lengo sio kwa masikini bali waliofanya vizuri