Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi amesema serikali ya awamu ya sita imeunda timu ya Makatibu Wakuu wa Wizara ili kufanya tathmini na kuanza mchakato aa kuyarejesha serikalini mashamba matatu ya Kiliflora Usa River, Kiliflora Nduruma na Arusha Blooms Chekereni, mashamba ambayo yanamilikiwa na muwekezaji ambaye ameshindwa kuyaendeleza.
Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 02, 2025 Jijini Arusha kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid wakati wa kampeni zake
Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 02, 2025 Jijini Arusha kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid wakati wa kampeni zake