Uza, Chukua, Uza..... na watu wanapiga faida katika transactions hizo...; Kabla hamjachukua haya waliyoshindwa kuyaendesha ili muweze kuyaendesha ile miradi mingine iliyochukua Kodi zetu ya Mashamba ya BBT viliishia wapi ?
Nyie jikiteni kwenye kuweka masoko vizuri nguvu kazi nyingi kitaa haina kazi za kufanya na wanaona Kilimo ni Bahati Nasibu na hakilipi hususan Siasa zenu za mara kuwaruhusu kuuza popote mara mpaka vibali (basi tu ni vurugu)