Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anataka tu tuongee ili tuonekane hatuna adabu[emoji57]
Asante sana ndugu rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa rai yako njema kwa waTanzania wote.Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.
View attachment 3561125
10,000 casualties halafu eti mshikamano. Labda mshikamano wa cartel ya msogaWakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.
View attachment 3561125
Chizi karogwa tenaAsante sana ndugu rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa rai yako njema kwa waTanzania wote.
Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu zangu waTanzania.
Mshirikishe na wanu mumpongeze.Ahsante mama yetu kipenzi kwa kudumisha amani na mshikamano nchini!
Mshikamano pekee wanaotakiwa kuwa nao waTanzania ni kuondoa wahalifu kwenye madaraka waliyojitwalia kwa mabavu kwa kumwaga damu ya waTanzaniaWakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.
View attachment 3561125