Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 925
- 2,177
Unajua huwezi kuiba uchaguzi halafu watanzania wasijue Kwa sababu wanaosimamia uchaguzi ni hao hao watanzania.
Nimeshangazwa na kiwango Cha wizi wa uchaguzi alichokifanya Samia na wahuni wenzake.
Nimejiuliza sana endapo sisi tunaojiita waislamu kweli tuna hofu ya Mungu au laa !!
Kituo Cha kupigia kura zimepigwa kura 50 tu halafu zinatangazwa 1000 !??
AMA KWELI SHETANI HANA RANGI....!!
SAMIA SIO RAIS HALALI WA TANZANIA....