Samia Style liwe vazi rasmi la CCM ila Wanaume waweke kifungo kimoja

Pale kinyesi kinapokisimanga choo kuwa kinanuka sana.
 
Ni Ushauri tu maana Niko hapa Kisarawe wanaccm wameshalipasisha hili vazi

Wenzetu wa Chadema Wana zile Gwanda zao kama Migambo

Jumaa Mubarak πŸ˜€
Wanaume mumekubali kuvalishwa dela bado mvalishwe kanga na shanga tu kudadeq.
 
Ni Ushauri tu maana Niko hapa Kisarawe wanaccm wameshalipasisha hili vazi

Wenzetu wa Chadema Wana zile Gwanda zao kama Migambo

Jumaa Mubarak πŸ˜€
Acha wehu wewe Watu Wanawaza Satellite nyie mnawaza Vazi la taifa?

Mbona vijana mmekua wa hovyo hivi?
 
Hapo ndio mwisho wa akili zetu 'Vazi la Taifa', tukitoka hapo tunaenda kukinga bakuli marekani kuomba pesa za USAID. SAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…