Samia Style liwe vazi rasmi la CCM ila Wanaume waweke kifungo kimoja

Samia Style liwe vazi rasmi la CCM ila Wanaume waweke kifungo kimoja

Ilo vazi hapa mjini kuna wanawake wanadangia TU.kama TAIFA mnataka kudanga sw.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ni Ushauri tu maana Niko hapa Kisarawe wanaccm wameshalipasisha hili vazi

Wenzetu wa Chadema Wana zile Gwanda zao kama Migambo

Jumaa Mubarak 😀
Naomba uweke picha hapa ningependa kuijua hiyo stayle; siifahamu
 
Back
Top Bottom