figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Samia Suluhu hakutaka kusikia neno la Mungu. Masikio akatia pamba. Akajiona Mungu Mtu. Mungu anamchukua amtake. Lakini kuva vifo vingine vinatokea ili watu wajue mali hazitishi kifo. Iba uibavyo ila Mungu ndo Mwisho wa MANENO.
Unaweza ukafanya ufisadi wa DP World kwa kuuza bandari, lakini fedha hizo zisiokoe uhai wa mume wako wala Mwanao.
Tuishi kwa upendo. Mungu anaweza kutoa adhabu bado Wananchi waliotendewa mabaya wakaona adhabu haijatosha.
Asiye shukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.
Tuwaheshimu watumushi wa Mungu