Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
- Thread starter
- #41
Nakubaliana na wewe, mimi ni maskini tu... Na nimekujibu kuwa hakuna uchawa... Maelekezo mengine na lawama zinazomhusu yeye, naomba uzielekeze moja kwa moja kwake... Post yangu haihusiani na malalamiko ya wananchi kwa Raiswee ni maskini kama wengine tu nimekuuliza So what? umejibu? acha uchawa wa rejareja kimsingi huyo ajuza hamna kitu kwanza angekua na akili angeendelea kula makonyagi huko brazili wakati nchi iko kwenye janga la ghorofa.
Nenda kwenye App kalalamike