Nakubaliana na wewe, mimi ni maskini tu... Na nimekujibu kuwa hakuna uchawa... Maelekezo mengine na lawama zinazomhusu yeye, naomba uzielekeze moja kwa moja kwake... Post yangu haihusiani na malalamiko ya wananchi kwa Raiswee ni maskini kama wengine tu nimekuuliza So what? umejibu? acha uchawa wa rejareja kimsingi huyo ajuza hamna kitu kwanza angekua na akili angeendelea kula makonyagi huko brazili wakati nchi iko kwenye janga la ghorofa.
Donald trump, uchaguzi wa 2020, alikuwa na app (official trump 2020 app) -ilikuwa inafanya the same job, baadae iliondolewa na kuzaliwa kwa truth socialTafiti hujibiwa kwa tafiti... Kanusha Tafiti yangu kwa reference ya tafiti yako
Mkuu nilimwambia kuwa yeye ni kiazi akaanza kubisha , chawa wanashida kubwa mno yaani , wewe fikiria hawa vijana wa shule za Kata unadhani wanaweza kuwa na IQ ya maana kweli? na hawa ndio wamejazwa katika ma position yakiwemo yale yanayohitaji akili namaanisha akili sio za kuvukia barabara.Donald trump, uchaguzi wa 2020, alikuwa na app (official trump 2020 app) -ilikuwa inafanya the same job, baadae iliondolewa na kuzaliwa kwa truth social
Barack obama - Obama for america , uchaguzi 2012
Narendra modi, waziri mkuu wa india, Namo App uchaguzi wake wa kwanza , app ilibalika jina to Narendra Modi App mpaka leo ipo
Paul kagame - paul kagame app japo ni unofficial, still active
Muhammad Buhari ex president wa nigeria - app ya PMB alitumia sana wakati wa campaign
Uhuru kenyata - app name team uhuru, ilitumika sana 2017 wakati wa uchaguzi
Hakainde ichilema - HH app alitumia wakati wa uchaguzi wake ku connet wapiga kura wake
Na hao ni wachache tu
So Yes wapo si wa kwanza
kama hawa ndio viongozi wajao (chawa), sitoshangaa wakiendelea na maamuzi ya ajabu. Wenyewe wana dunia yao ambayo wanaamini wao ndio the best, is why wakienda uga wa kimataifa wanaambulia aibuMkuu nilimwambia kuwa yeye ni kiazi akaanza kubisha , chawa wanashida kubwa mno yaani , wewe fikiria hawa vijana wa shule za Kata unadhani wanaweza kuwa na IQ ya maana kweli? na hawa ndio wamejazwa katika ma position yakiwemo yale yanayohitaji akili namaanisha akili sio za kuvukia barabara.
Exactly ndiomaana hata mama yao baada ya majanga kutokea Kariakoo badala ya kusitisha liziara lisilo na kichwa wala miguu mara moja yeye anaendelea kula makonyagi kule kwenye nchi za watu na wala hajali kabisa.NI Janga kubwa mkuu.kama hawa ndio viongozi wajao (chawa), sitoshangaa wakiendelea na maamuzi ya ajabu. Wenyewe wana dunia yao ambayo wanaamini wao ndio the best, is why wakienda uga wa kimataifa wanaambulia aibu
Kwani mmesikia hatupati habari?Kupata habari mbalimbali
sawa, ungeandika kati ya marais watatu wa hivi karibuni Samia ni rais wa kwanza kuwa na appMitandao na Apps zimeshamiri kipindi cha Kikwete... Labda kama wewe ni mgeni wa mitandao
sina haja nazoJe utaki kupata habari za Rais wako
Kwa hiyo wewe unataka kusema Baba yako alikojoa Nje ndio ukazaliwa wewe au unamaanisha nini... Maana kila mtu kuzaliwa baada ya baba yake kukojoa ndani... Wewe mwenzetu itakuwa baba yako alipiga bao la nyeto kwa mama yako ndio ukazaliwa
Nimekwambia Samia Suluhu Hassan ni Raisi wa Kwanza Nchini.... Au hujaelewa maana ya NchiniDonald trump, uchaguzi wa 2020, alikuwa na app (official trump 2020 app) -ilikuwa inafanya the same job, baadae iliondolewa na kuzaliwa kwa truth social
Barack obama - Obama for america , uchaguzi 2012
Narendra modi, waziri mkuu wa india, Namo App uchaguzi wake wa kwanza , app ilibalika jina to Narendra Modi App mpaka leo ipo
Paul kagame - paul kagame app japo ni unofficial, still active
Muhammad Buhari ex president wa nigeria - app ya PMB alitumia sana wakati wa campaign
Uhuru kenyata - app name team uhuru, ilitumika sana 2017 wakati wa uchaguzi
Hakainde ichilema - HH app alitumia wakati wa uchaguzi wake ku connet wapiga kura wake
Na hao ni wachache tu
So Yes wapo si wa kwanza
Wewe unasapoti bangi kama jina lako... Kusoma hujui mpaka husomewe, ona sasa unasapoti fact za mtu asiyejua kusoma kama wewe... Huyo mwenzako ananiorodheshea marais wa nchi nyingine... Wewe na bichwa lako kama boflo unamjibu kwa kunidhihaki mimiMkuu nilimwambia kuwa yeye ni kiazi akaanza kubisha , chawa wanashida kubwa mno yaani , wewe fikiria hawa vijana wa shule za Kata unadhani wanaweza kuwa na IQ ya maana kweli? na hawa ndio wamejazwa katika ma position yakiwemo yale yanayohitaji akili namaanisha akili sio za kuvukia barabara.
Hakuna haja ya kuandika marais watatu wa hivi karibuni... Kwani kabla ya hao watatu nani amewahi kumiliki App...sawa, ungeandika kati ya marais watatu wa hivi karibuni Samia ni rais wa kwanza kuwa na app
Hiyo sentensi usitafsiri kama ilivyo. Inamaanisha Ina msaada Gani kwa mlalahoi?Kwani ni kazi ya Rais kukulisha... Ulizaliwa kuletewa chakula mezani